Mwenye kabahati aingize hii hapa kisha atoe mrejesho 8656 6622 0197 248
Mkuu weka na vocha ya Voda
Usitaje mtandao itapendeza zaidi
Angalieni vizuri tarehe ya thread, ni enzi zile za vyuma legevu, siyo kipindi hiki.
Hata nyimbo za kutajana tajana majina hakuna.
[emoji3][emoji3]