NIELEWEWE VUZUR HAPA

NIELEWEWE VUZUR HAPA

Gego Mnete

Member
Joined
Dec 9, 2017
Posts
10
Reaction score
14
Usiiulize akili yako UMPENDE NANI? Bali usikilize MOYO WAKO UNAMPENDA NANI Maana akili itakuchanganya
Lakini MOYO unajuwa haja yake
 
Umenikumbusha ule wimbo wa waraka wa bahati bukuku.

Mfalame akamwambia malkia....
Nini haja ya moyo wakoooo
Hata nusu ya ufalme wangu nitakupatia....

Yaaah ni kweli moyo unajua haja yakeee
 
Back
Top Bottom