madia madia
JF-Expert Member
- Sep 30, 2017
- 717
- 703
Ni kitu gani mschana unawaza pale mwanaume:
1. anapokusalimia
2. Anapokuongelesha
3. Anapokuangalia
Lakini pia huwa inaashiria nini mwanamke/mschana ambaye mnajuana tu au ni marafiki tu wa kawaida anapokujulia hali Mara kwa Mara, anapokupigia kukusalimia Mara kwa Mara, anapokusifia Mara kwa Mara. Na mengine ya hayo.
Nimekumbuka ile story ya mdau humu ya kuwa na rafiki halafu wanapendana Lakini wanaogopa kuambiana. Mpka mschana akaolewa hadi akafa ndo jamaa anastuka kumbe alikua anapendwa. Wadada hebu tusaidieni maana naona tupo wengi.