Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ukweli si size wala shape wala appearance ya mwanamke ndiyo inayo dhihirisha ufundi wake kitandani bali mtazamo (attitude) kuhusu tendo la ndoa (sex) ndio msingi unaoweza kuelezea mafanikio na...
4 Reactions
23 Replies
76K Views
Yamenipata, baada ya kuotea virai(hela) flani ivi nikasema ngoja nitafute saiti, nikapata sehemu flani ivi kuna kajumba na kauwanjaaa kazuriii ila hapana umeme, nikasema hakuna noma nikafanya...
13 Reactions
56 Replies
5K Views
Wapendwa mtu kuwa na kauli nzuri ndio mwanzo wa hekima!tumia busara jinsi ya kumjibu mtu!mfano badala ya kumwambia mtu wewe ni Muongo! Unaweza kumwambia Fulani hapo mimi sikubaliani na...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Geree mamaa geree mamaa wananionea geree. ....... watausaga mtama....... Usiku mnene na wakubwa ndo tunafanya yetu kwwnye viota vilivyoenda twisheni. Kati ya hao wadada waliokata mauno hapo...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Si chaupele bali ni kipele kinahitaji kuminywa maana kimeiva, ila si chunusi ni kipele tuu. Iko hivi..... nimefika kwenye mgahawa flani kupata mlo wa mchana, nilikuwa na miadi na mtu flani hivi...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi, naomba msaada wenu ili nitambua kuhusu ili jambo
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Vijana wengi wamekua wakifikiria kuoa pindi tuu wanapoanza maisha ya kujitegemea, kijana anapokua anamiliki geto, ana kitanda ka sofa ka TV ka jiko ka gesi na tuvindoo twa kuhifazia maji hapo...
43 Reactions
165 Replies
31K Views
Natafuta mchumba wa kike mkristu aliye dodoma baadae mke kuanzia miaka 18-26 cjali elimu lkn awe na akili timamu anitafute pm
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Hamjambo, Ninaona ajabu sana, Hivi karibuni nimekuwa na michepuko kadhaa (kama hoby) Chakushangaza namba zao za simu ,zile mbili za mwisho zinafanana na za mke wangu, Mfano kama ni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama uzi unavyojieleza mimi ni kijana wa miaka 25 ni mwanafunzi nipo chuo mwaka wa 3.. Nitarajia kumaliza mwakani mwezi wa 7 kwetu kabisa mkoa wa mtwara Nina.. Msukumo mkubwa Sana baada ya...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni mwezi wa nne sasa toka marehemu amenitoka. Ilikuwa ghafla tu na ameondoka na mwili wake maskini. Huyu dada nlimdate kama mwezi hivi na hatukuwa tunatumia kinga( nawashauri ndugu zangu msipime...
20 Reactions
97 Replies
9K Views
Jana nlipatawa na malaria kali nikalazwa Hosp Moja Private Jijini DSM. Joto lilipanda sana nilihisi hata ungenidumbukiza kwenye maji yale maji yangeweza kuchemka ukapata chai au ukachemshia...
33 Reactions
120 Replies
16K Views
Habari za mchana wakuu, kwanza poleni na majumu mlionayo na mnayoendelea nao hadi sasa, Kumekuwa na minongono mingi mitaani kuhusiana na swala zima la utoa mahari, kwamba kijana unakwenda ukweni...
1 Reactions
69 Replies
7K Views
Nikili kwanza hapo mwanzo nilikuwa muoga wa kutongoza wanawake. Baada ya kuangalia hii movie "Friends with benefits" nilipata ujasiri sana. Ikawa kila nikimtongoza demu yeyote akikataa namuomba...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Salamu wakuu Kwa kipindi kirefu nimekuwa na tabia ya kuwadate wanawake wa Rika tofauti tofauti na hatimae Leo nimekuja na findings kuhusu wao hapa JF Moja, Miaka14 hadi 19 na 20 Wengi wa Rika...
19 Reactions
62 Replies
11K Views
Wazima jamaani... Wanaume, hiki kilio chetu kwa hawa watani zetu wa jadi upande wa pili juu ya tabia yao ya kutukamua a.k.a kutuchuna naona kimeanza kuzaa matunda taratibu, siku hizi angalau kuna...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Haya Maisha yana kila aina ya vituko!, Naanza kuungana na wanaume wenzangu kwamba kuchepuka ni njia sahihi ya ku reveal stress zetu! Nina Wapenzi wangu wawili ambao nmekuwa nao kwa zaidi ya Miaka...
4 Reactions
40 Replies
4K Views
Hii ishu ya pesa huwa inaniachia maswali mengi saana. Naamini humu pia kuna baadhi wanaojiuliza-ga kama mimi. Pesa inafahamika ni tamu kwa kila mtu ukiwa na pesa haijalishi ni buku au million...
8 Reactions
50 Replies
4K Views
Kuwa na mahusiano na mfanyakazi mwenzako au mteja katika sehemu yako ya kazi haijawahi kuwa na mwisho mzuri, kwa niliyoyaona ni kwamba unaweza kupoteza kila kitu.
12 Reactions
49 Replies
7K Views
Natumai muwazima wa afya ,niko kwenye mahusiano na kaka mmoja ambaye alionyesha kunipenda na kunijali ,nilimwamini sana ila cha kushangaza kunasiku ametoka kwangu tukaagana vyema kua anaenda...
23 Reactions
175 Replies
13K Views
Back
Top Bottom