Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Amani ya bwana iwe nanyi. Wakuu nimekuja kwenu nikiwa na jakamoyo, nalo ni baada ya kuwahi kuleta malalamiko hapa kuhusiana na shem wenu ambaye ameshaharibikiwa mara mbili , nilikua natarajia...
1 Reactions
54 Replies
4K Views
Habari za muda huu wanaJF. Sina maneno mengi, naomba mnisaidie kimawazo nijue pa kuanzia. Iko hivi, mwaka 2008 nilimpa ujauzito dada mmoja na mwaka 2009 alijifungua mtoto (ME), kwakua nilikua na...
9 Reactions
184 Replies
17K Views
Wana jukwaa amani iwe kwenu, Ni juzi tu nilikuwa na mpenzi wangu sehemu fulani hivi tulivu, tukipiga story na ku-refresh. Sasa wakati tukiendelea kupata good time, mimi simu yangu ikawa...
3 Reactions
87 Replies
26K Views
Angalia vizuri mtu aliyekuwa hana pesa anavyobadilika akizipata. Mwanaume: Kama alikuwa hajaoa ataoa au ataongeza bidii katika mabinti Kama alikuwa na mke mmoja ataongeza mke wa pili au hawara...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Kuna aibu sana na ujinga uliokomaa mwanaume kulalamika huna hela mara maisha magumu mara unalalamika kwa mkeo familia ngumu.Wazazi wako wanapata shida za kila aina! Aibu ! Aibu ! Aibu sana...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Maana huyu mtu amenikalia kooni kila kukicha habari ndo hiyo tuuuu mpaka nakosa amani hata ya kukaa nae najuwa lazima ataanzisha habari ya mtoto nyumba inakosa amani kwasababu hii hakuna...
2 Reactions
69 Replies
5K Views
Nafahamu Shemeji yangu anakupenda sana,kwa uliyomfanyia angekuwa mwanaume mwingine sidhani kama angeendelea kuishi na wewe, mwanaume gani utakaye muacha ukiwa Mzima wa afya miaka kadhaa baadae...
2 Reactions
73 Replies
6K Views
Mimi ni kijana miaka 23 natafuta rafiki wa kike wa kubadilushana mawazo umri 20-28
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana Jf Napenda kuongea maneno machache sana kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juuu. Kwanza naanza na wanawake wenzangu wenye wivu kwa waume zao mpaka ndugu zake unaweza kuhisi...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
0 Reactions
1 Replies
599 Views
kama kichwa cha habari kinavyojieleza, natafuta rafiki ambaye atakuwa mshauri kwangu haswa haswa katika suala zima la maisha, sijali umri jinsi wala rangi ili mradi awe na hofu ya Mungu na mkweli...
1 Reactions
2 Replies
760 Views
Habari. Kwa wale wanawake ambao wako eidha ktk mahusiano au wamedhamiria kabisa kuwa hawataki kusumbuliwa na wanaume kutongozwa tongozwa, waweza jilipua kwa kuwaambia WEWE NI MUATHIRIKA. Ingawa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Jumatatu ya Mwisho kuelekea Christmas imefika... Wakuu wale wote wanaowasaidia wenza /wake zao kazi zote za nyumbani bila shuruti yaani kuanzia kufua, kudeki, kupika, kuosha vyombo, kuchambua...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Eti haka kautaratibu mkiwa mmemisianaa na mpenzi mkikutana mnaanza kunyonyana denda weee tena kwa mda kabla ya kufanya kitu fulani kilicho wafanya mkutane hapo. Sasa mimi nimepata wazo hivi...
1 Reactions
53 Replies
11K Views
Jamani!jamani!Mungu apewe sifa kwa uumbaji wake ulotukuka, Nakwambia mtoto wa kike sasa hivi kama unaringia uzuri imekula kwako asee!yaani juzi nasafiri toka Dar kwenda Dom. Safari yangu...
24 Reactions
40 Replies
4K Views
Habari wakuu. Huu ni ushauri wa bure kabisa kwa wanaume vijana wa kiume na wanaume wenzangu kwa ujumla kuhusu wanawake. Nimeona vijana wengi wakilalamika juu ya kuumizwa na wanawake zao, kila...
14 Reactions
37 Replies
6K Views
Niingie front kwenya mada... Ni hivi michepuko yangu niliipata baada ya kufanya mchakato na uchambuzi wa kutosha ikiwemo kufanya vetting na kujiridhisha kwamba hawafahamiani na hawatafahamiana na...
1 Reactions
55 Replies
5K Views
Back
Top Bottom