Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Geree mamaa geree mamaa wananionea geree. ....... watausaga mtama.......
Usiku mnene na wakubwa ndo tunafanya yetu kwwnye viota vilivyoenda twisheni.
Kati ya hao wadada waliokata mauno hapo, mmoja wapo ni Kasie. Hii video sio ya leo ni siku mingii zimepita nimeikumbushia maana hapa nilipo ndo nimetoka kuusakata huo wimbo mwanzo mwisho usawa wa kimo cha mbuzi hehehehehee. Iga uteguke shauri lakooo hehehehehee.
Japo kiuno cha Kasie kimekaza ila sio gogo atiii.
Katikati ya dansing floo nasakata jiwimbo la pwani hilo.... geree mamaa geree mamaa geree mama aah aah aah heeheeiyaah kooloompaa.
Achia nyonga dadaa.... kila mtu na nguo yake tafadhalini. .....
Hapana chezea dadii heheheh
Kasie Mahabat Malovedove ....
Kasie Matata.