Wanaume tumekaribia kufanikiwa katika hili, tukaze kidogo tu tutatoboa

KOROE

Member
Dec 6, 2017
58
150
Wazima jamaani...

Wanaume, hiki kilio chetu kwa hawa watani zetu wa jadi upande wa pili juu ya tabia yao ya kutukamua a.k.a kutuchuna naona kimeanza kuzaa matunda taratibu, siku hizi angalau kuna kaaibu fulani wanako wanapotaka kuomba njuruku tofauti na miaka 5 nyuma, tafiti mbalimbali zinaonesha watani wetu wa jadi wamaegundua ukitaka uonekane sio wife materia basi omba omba hela.. na kwa kuwa nao wanapenda kuonekana kuwa wife material wanajikuta wanajaribu kulikwepa hili.

Wito kwa wanaume wote, tujenge hoja tunapolalamikia hii tabia ambayo ilianza kujipatia umaarufu miaka ya 2000, hoja yetu ijikite kwenye kusisitiza kwamba mwanamke anayeomba omba hela sio wife material lakin pia tuwaeleze hata wao wanaweza kuishi bila kututegemea sisi, na kwa upepo wa anko huu hata tukichomekea hili suala la vyuma kukaza nadhan litaeleweka...

Muhimu, tuongeze juhudi kwenye kugegeda... jitahidi sana kutenga masaa kadhaa kwa wiki kufikiri njia mpya na nzuri ya kugegeda na usisahau kushare.

KOROE.
 
emt45

JF-Expert Member
Jan 19, 2017
565
1,000

Hata AWAMU YA TANO IMESAIDIA SANA
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom