Je, nini siri ya mwanamke kitandani na mume wake?

Je, nini siri ya mwanamke kitandani na mume wake?

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,675
Reaction score
37,856
Ukweli si size wala shape wala appearance ya mwanamke ndiyo inayo dhihirisha ufundi wake kitandani bali mtazamo (attitude) kuhusu tendo la ndoa (sex) ndio msingi unaoweza kuelezea mafanikio na kushindwa kitandani.

Kama mwanamke anaamini kufanya mapenzi ni uchafu au ni kitu kibaya au mtazamo wowote potofu katika ndoa hataweza kuleta furaha ya kweli.
Kama anaamini mapenzi katika ndoa ni legalize rape basi hata siku moja hataweza kufurahia mapenzi atakuwa anajiona anabakwa kila siku.

Kama anaamini matiti yake ni madogo sana au makubwa kupita kiasi ambacho hawezi kufurahia kufanya mapenzi ni kweli hataweza kufurahia na anaweza kukosa feelings za kweli kuhusu mapenzi ndani ya ndoa.

Kama anaamini skills zake katika kufanya mapenzi ni pungufu basi hataweza kufurahia raha ya kuwa mwili mmoja.

Kama anaamini mwili wake upo ovyo kiasi kwamba hawezi kuwa uchi mbele ya mume wake basi ni dhahiri faragha na mumewe imeingiliwa.

Katika utafiti ambao ulihusisha wanaume ambao sehemu zao za siri ziliondolewa testicles na wanawake ambao waliondolewa clitoris na kuwachunguza wanavyofanya (enjoy) mapenzi na partners wao; ilikuja kujulikana kwamba walifurahia kufanya mapenzi sawa na wengine ambao wapo salama.
Hii ni kudhihirisha kwamba organs hazikuwa msingi wa wanandoa kufurahia mapenzi bali jinsi wanavyofikiria au mtazamo wao kuhusu tendo la ndoa.

Hii ina maana unaweza kuwa na size, shape na appearance tofauti au yenye hitilafu kwa mtazamo wa jamii lakini ukiwa na mtazamo (binafsi) mzuri kuhusu mapenzi unaweza kufurahia tendo la ndoa kwa njia ya ajabu sana na unaweza kuwa moto kitandani na mumeo kukufurahia.
 
Last edited by a moderator:
hakika hili ni Darsa zuri sana. Shukrani mtoa mada
 
Ukiwa na mwanamke ambaye hajiamini au anaona aibu we mpatie wine kama glasi mbili tu tena ukipata Grunburger ya Africa kusini utashangaa na mabadiliko kitandani inaongeza ny**e kupita kiasi.
 
source
The Hill Of Wealth
its very kind of us to ackowlegde where we copy our materials, lets give the original writers their credit.
 
Kudadeki!!! Duh!! hiyo kali kwa kweli.... Tuwaachie wenye uwezo wa kujadili mada kama hizo, maana zinautaalamu wake kwa kweli..
 
starehe/ufanisi utaujua after undertaking alot of `practicles`
BUT TAKE CARE!!!!!!!

Our lives begin to end the day we become silent about things that matter!!
 
Kudadeki!!! Duh!! hiyo kali kwa kweli.... Tuwaachie wenye uwezo wa kujadili mada kama hizo, maana zinautaalamu wake kwa kweli..

hamna utaalamu hapa mkubwa ni utundu tu
ukisubiri upelekwe shule ya haya mambo, demu wako au mkeo atakuwa anamegwa na wajanja halafu wewe utawaita wataalamu kumbe ma-innovetta tu
 
hii thread ya kikubwa

Inawezekam cha kunishangaza hata wale Kina dada /mama ambao akili zao zimepanuka kimawazo leo hawaonekani kuchangia hii mada,isije ikawa imewagusa kwa kiyasi fulani?
 
Awe msafi
Awe amemaliza shughuli za siku... N.K

Asije na manungu'uniko, au mechi bila bila😀

........................................mie naona aje kama alivyoumbwa, mwee!😛
 
cha muhimu ni kuwa wazi kwa mpenzi wako na kumweleza weak point zako zote
 
Ukweli si size wala shape wala appearance ya mwanamke ndiyo inayo dhihirisha ufundi wake kitandani bali mtazamo (attitude) kuhusu tendo la ndoa (sex) ndio msingi unaoweza kuelezea mafanikio na kushindwa kitandani.

Hii ina maana unaweza kuwa na size, shape na appearance tofauti au yenye hitilafu kwa mtazamo wa jamii lakini ukiwa na mtazamo (binafsi) mzuri kuhusu mapenzi unaweza kufurahia tendo la ndoa kwa njia ya ajabu sana na unaweza kuwa moto kitandani na mumeo kukufurahia.

...naunga mkono hoja kwa 99.9%

Back
Top Bottom