Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nmekuwa kwa namna flan nafuatilia sana hizi threads wanazoanzisha akina dada. Huwa napenda kuangalia muda wanaoanzisha au hata kuchangia.ni aina ya utafiti ambao sikutaka waita TWAWEZA maana mimi...
23 Reactions
97 Replies
11K Views
Hellow dears Happy new year to you all
7 Reactions
21 Replies
1K Views
hi wana Jamii? Nimepata msichana mzuri, ana vigezo vyooote vya kuweza kumuoa na nimempenda jaman kiufupi nimezama mpaka kichwa kwa huyu binti, ila cha kusikitisha juzi nimemuomba papuchi...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Habari wakuu. Kuna kijana wangu Mmoja alieñifundisha maswala ya mahusiano na namna nzuri ya kupata mwanamke . Alinipa basic step mwanzo mpaka mwisho unapewa mzigo Nakumbuka nilikua na tabia...
2 Reactions
41 Replies
7K Views
Wakuu mambo vipi! Basi mwenzenu leo nimekumbuka nilivyoponzwa na yule muhenga aliyesema mapenzi ni maua popote huchanua. Nilikua mteja mzuri sana wa bar moja huko songea maeneo ya msamala.Na...
3 Reactions
31 Replies
4K Views
Hii couple imetrend sana siku mbili hizi. Ila wamejua kutunyoosha. Be with a guy who ruins your lipstick not your mascara[emoji7][emoji7]
4 Reactions
134 Replies
10K Views
NDevu zinamaana kubwa sana, ndo mna wazee wazaman hawakuzinyoaa, 1-meanamke mwenyewe anakuogopa na vitoto toto vinajua hiki kidume 2- pili ukishika kidevu chako unaona tofauti yako na watoto na...
6 Reactions
24 Replies
5K Views
Love feels as though it should be the easiest thing in the world. And in the beginning, for the most part, it is. It is all smiles and butterflies, giddy excitement from a mere text message...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Waungwana habari za nyinyi mwanzenu nina mtoto wa kiume sasa natakiwa kumtahili naomba ushauri kwa dar n wapi naweza kupata mtaalum wa ukweli kabisa ambaye anaweza kumfanyia mwanangu kwa usahihi????
0 Reactions
23 Replies
8K Views
awe mkweli, na awe serious. anayetaka mke ani pm namba yake tutawasiliana. kwa maswali yote tutawasiliana
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Hivi inakuaje msichana unakua na boyfriend wako unamuamini mpaka inafikia hatua mkifanya mapenzi mnajichukua video?? Tena anayeonekana hadi sura anakua ni msichana, hapo inaonesha kwamba mwanaume...
5 Reactions
50 Replies
4K Views
Habari za muda huu wanachama wa Jf na viongozi kwa ujumla, Sipotezagi muda zaidi wacha niende moja ka moja kwenye mada , Usiku wa juzi ijumaa kuamkia jumamosi nilikuwa root night kwenye...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu nawasalimu, Polen kwa michoko ya week nzima ndugu zangu wana CHAPUTA (kama siyo mwanachaputa n kiherehere kimekuleta humu[emoji2] [emoji2]) Nna swali moja tu kwa sku ya leo Hivi wewe...
6 Reactions
80 Replies
9K Views
Aman iwe wakuu wa jukwaa Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu Kwanini mimi siwez kumtongoza mwanamke pasipo kuuingiza neno kumuoa Yaan nikishuka tu mistari kidogo maneno yanaisha...
5 Reactions
66 Replies
5K Views
WANAUME wengi wanaamini wanawake, kwa kawaida, ‘wanapenda hela.’ Kwamba ukiweza kumhakikishia mwanamke 'uhakika wa kiuchumi' unakuwa umemaliza. Ingawa hatuwezi kupuuza ukweli kuwa uhakika wa...
16 Reactions
65 Replies
107K Views
Msaada wakuu hivi iki nn maana yake nimekikuta ndani ya begi la mpenzi wangu tunaeishi nae nyumba moja NIKILAMBO KIMEFUNGWA NYUZI NDANI KINA KIKAMBA KILICHO FUNGWA MAFUNGU NA VIPEKE VITATU
2 Reactions
170 Replies
18K Views
Kuna makabila yanayoendeleza utamaduni wa kuoana ndugu hasa binamu katika ukoo. Dhana hii Mara nyingi hufanywa ili kulinda mali za familia zisiende mbali. Wengine huoana baada ya kuoeana mimba...
7 Reactions
76 Replies
14K Views
Wanalazimisha ichi za africa zichukue wanawake wanaoendana na wazungu(english figure) ambao hawana mvuto kabisaaaa, yaan muafrica af english figure Haiji kabisa yaan Kiivyo tutegemee kuburuzwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wakuuu! Yaani hii kweli! Wanaume wenye wake zaidi ya mmoja wengine wao chaji ngogo sana! Hii ni moja kwa moja toka jikoni! Akiona mkewe analalamika hamridhishi ili kuziba mdomo...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Natumai mpo poa kabisa wanaMMU. Naombeni ushuhuda kuhusu yale mahusiano ya kukutana kwenye mitandao ya kijamii na baadae wahusika kuonana mubashara na hata kufikia hatua ya ndoa, je mahusiano...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…