Habari wanajamii forum
Zimebakia siku chache kuumaliza mwaka 2017 na tumeshuhudia kwa mwaka huu 2017 wanawake wameshambuliwa sana kwenye hili jukwaa kutokana na mambo kadhaa ambayo yanaonekana...
Binti wa kazi ni msichana wa umri kati ya miaka 14 hadi 18 ijapo kuwa kuna wengine wamezidi umri huu hadi wengine kabisa kuwa watu wazima; wa mama wa makamo na hadi ma bibi vizee.
Binti wa kazi...
Katika wapendanao kuna kipindi mahusiano hukatika kwa njia mbalimbali kwa kuachana au kugombana hadi mmoja wao kulalamika kuwa amepotezewa muda na hili hasahasa wanawake ndo huwa na malalamiko...
Nimepima tarehe 6/10/2017 nipo HIV negative, nina furaha saana maana nilitembelea rim, nimejifunza jambo kubwa saana katika maisha yangu....
Once again leo tarehe 30 December 2017 I am HIV...
Fursa mpya mjini. Binti anahitajika afanye mauzo ndani ya Banda langu la vitu vidogo vidogo na atapata mshahara wa kutosha tu.
Must awe na sifa zifuatazo:
1. Mkristo, na akifika kwangu, atakuwa...
Mchumba niliyepata anavyote vigezo nitakavyo kasoro hazikosi Tatizo ni moja2 Alipigwa mimba wakati anamaliza 4M4 Ana mtoto nami Nilikuwa via hatua za kupeleka PoSa lkn imebdi awe muwaz ukimuona...
Nasema ni uboya na ni ushamba haswa
Haiwezekani dume zima tena wa kutoka kanda ya ziwa unaenda bar tena bar high classic uko na demu unaagiza soda na demu anaagiza Balimi ndogo ile strong beer(...
Sikuwah kuwaza kama itatokea nikapitisha hata wiki bila kusex
Sasa natimiza Miaka miwili bila kukutana na Mwanamke kimwili baada ya kutoka Tanzania kuja kutafuta maisha nchi za kiarabu
Zamani wanawake walikuwa na heshima sana kwetu wanaume.ukienda mikoa kama mbeya,mwanza,iringa,rukwa n.k huko ilikuwa mwanamke anapomsalimia mwanaume anapiga mpaka goti.
Tena hapaswi kumkodolea...
Habarini wanajamvi naomba kujuzwa sehemu nzuri couple wanazoweza kwenda kwa siku kadhaa kwa madhumuni ya kupumzika sehemu tulivu iwe nchini(Tanzania).
Nadhani itawasaidia Wengi pia kwa ajili ya...
Katika mizunguko yangu jana maeneo ya kariakoo katika pilika zangu za hapa na pale kama unavyojua kariakoo na pilika hizi za x mass.
Daaaah si ndio kuna duka moja nimeingia sijaamini...
Jana kuna demu jina kapuni anaishi tabata ameolewa.....huwa ni rafiki yangu wa kawaida tu. Si kaniambia mimba sio ya mme wake ni mshikaj mwingine....but mme wake kafurahi kweli mke kupata mimba...
nimekuwa najiuliza sana kwanini vibamia??? Wapo wanao sema hakuna vibamia isipokuwa maziwa,bahari na marambo yameongezeka hivyo visima na mito vimepungua, sijui ukweli ni upi.
Lakini kuna kasi ya...
Mimi in kijana Mwenge umri 24 nipo chuo mwaka wa tatu ,toka nimetongoza wasichana sijawai pata kabisa,ingawa ni kijana mzuri,mrefu Nina mwili kidogo black,ila kila nikifuata msichana lazima...
Wa salaam wana jamvi humu ndani.
Nimesikia Vijana wanajadili kwamba kuna ufundi umeongezeka katika Uumbaji Wanawake.
WELL: Uumbaji ni Ule ule...Udongo ni Ule ule... Formula ya 500BC ndiyo hii...
Habari za jioni waungwana .imani yangu ni kwamba wote ni wazima ,sasa twende kwenye mada
Miaka ya hivi karibuni suala la vibamia limekua likishika kasi Sana, na kuna mijadala mbali mbali imekua...
Wapo watakaotukana na kukebehi ila nimekuwa na swali hili kwa muda labda nilikosee kuliweka vizuri kwa kuwa najua sio mwandishi mzuri wa kuipamba habari.
Pamekuwepo na matangazo mengi mitandaoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.