haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 1,572
- 3,864
NDevu zinamaana kubwa sana, ndo mna wazee wazaman hawakuzinyoaa,
1-meanamke mwenyewe anakuogopa na vitoto toto vinajua hiki kidume
2- pili ukishika kidevu chako unaona tofauti yako na watoto na wanawake
3 kubwa unakua jasiri huogopi,
Unakua unamuonekano wa kidume la mbegu.
Sasa kidume nae anatumia zaidi ya nususaa et anatengeneza ndevu,
Bdo mana wale wanaonyoa hujiua kwa vitu vidogo kwa risasi hasa papuchi.
Ahsate