Romantic dance ever

Romantic dance ever

haahaaahaa..mi ndo mana jana nkaja na kathread kangu mwanaume awe romantic...umeona sasa eeh?
Kabisaaa ni Romantic haswa yani wote wajifunze kwa huyu. Hii ni tafsiri kuwa hawa wamependana kweli. Yani hawaigizi sababu ni harusi wanahisia kweli. Hii ndo tafsiri ya wet kiss
 
URomantic upo wapi hapo.!!
...au kunyonyana midomo ndo uRomantic?

Anyway, nmependa couple yao...mrefu na mfupi such a nice gestures together. It reminds me of my wife
 
Kabisaaa ni Romantic haswa yani wote wajifunze kwa huyu. Hii ni tafsiri kuwa hawa wamependana kweli. Yani hawaigizi sababu ni harusi wanahisia kweli. Hii ndo tafsiri ya wet kiss
mweehh...kweli..sio mapenzi ya kuigiza.
haoo sijui ka bi harusi alipewa mda wa kwenda bafuni kufuta make up alipofungua mlango wa hotel honeymoon
 
mweehh...kweli..sio mapenzi ya kuigiza.
haoo sijui ka bi harusi alipewa mda wa kwenda bafuni kufuta make up alipofungua mlango wa hotel honeymoon
Yani bwana harusi alibaki na lipstick kwenye lips. Yani nimewapenda bure
 
Back
Top Bottom