Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za wakati huu wana JF, Niende direct kwenye mada, kutokana sababu mbalimbali nimekuwa nikipiga punyeto mara moja kila baada ya miezi mitatu. Je itaadhiri chochote katika swala zima la...
1 Reactions
51 Replies
4K Views
habari wanajamiiforums wote, mimi ni kijana wa kiume wenye age 25s' Mara nyingi nikiwa kwenye mizunguko yangu ikatokea tunapishana na demu mkali huwa nakosa hata confidence ya kumsalimia au hata...
2 Reactions
41 Replies
4K Views
Habari zenu wadau! Kama kichwa kisemavyo, nilikutana na binti kwenye group la WhatsApp tukaahidiana kukutana na ikawa hivo,nilijikuta nampenda sana na yeye mwanzo alionesha ana nipenda sana...
3 Reactions
74 Replies
4K Views
Habari zenu waungwana, Niko na huyu mwanamke karibia mwaka sasa na tunafanya kazi ofisi moja pia tunaishi mtaa mmoja huku Kinondoni ingawa si nyumba moja ila ni majirani tu na mara nyingi huwa...
2 Reactions
49 Replies
5K Views
Devu zinamaana kubwa sana, ndo mna wazee wazaman hawakuzinyoaa, 1-meanamke mwenyewe anakuogopa na vitoto toto vinajua hiki kidume 2- pili ukishika kidevu chako unaona tofauti yako na watoto na...
0 Reactions
1 Replies
874 Views
Wakuu,kuna singo maza nipo nae kimahusiano,ana mtoto mkubwa tu,like 11-12yrs,..lakin huyu singo maza ni hoot kikwelkwel,.mi nna dem wangu nae mcount kama ndo the one n only,ila yuko masomon nje,n...
5 Reactions
135 Replies
10K Views
Wadau, Mke wangu amenizidi mshahara, kwa mfano: kama mimi napokea mshahara sh laki moja basi yeye anapokea laki mbili-ukijumlisha na house allowance, transport na pesa nyingine zisizo na kichwa...
6 Reactions
91 Replies
9K Views
Mwili wa mwanamke tu jinsi ulivyo ni kivutio tosha cha kuamsha hamu ya mapenzi kwa mwanaume. Mwanamke anapokua chumbani sharti avue nguo abaki na mavazi mepesi yenye kuonesha maumbile muhimu ili...
6 Reactions
99 Replies
14K Views
Hii kitu imekaeje? Wakati baadhi ya makabila na dini ni halali kuoa/kuolewa na mtoto wa shangazi Mjomba baba mdogo/mkubwa ,mama Mdogo/mkubwa makabila mengine na dini ni laana, kuna dada mmoja ana...
2 Reactions
55 Replies
7K Views
For sure ni ngumu kumuelewa licha ya kumdhania, lakini ndo keshajitoa kimasomaso! Nihivi; Huyu binti ni mwanafunzi anayesoma katika shule moja ya high profile huko Kilimanjaro. Kwa sasa...
4 Reactions
47 Replies
5K Views
Kuna binti nakusudia nimemweleza niya yangu ya kumuoa baada ya kumchunguza vya kutisha. Amemaliza chuo mwaka huo ila tatizo analigomea ombi langu kwake anadai ana mtu licha ya kuwa utafiti wangu...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Babangu alizaliwa tarehe 28/12/1958 na alifariki juzi tarehe 25/12/2017 kwa ajali. Kwa hakika katika maisha yangu yote hili ni pigo la pili baada ya pigo la aliyekua mpenzi wangu lakini naona...
20 Reactions
112 Replies
9K Views
Nilimpata tangu Julai mwaka huu. Hivi karibuni tu nikachukua simu yake pamoja na laini zake nikampa simu nyingine na kikaa naye siku 3 bila kumpa uhuru wa mawasiliano na mtu yeyote. Simu yake...
9 Reactions
191 Replies
50K Views
Wakuu wa JF, Hope mko salama, naamini mpo poooooaaaa. Sasa nina dili kali, baada ya kutafiti mada nyingi katika jukwaa hili la MMU kwa muda mrefu, nimejiridhisha kuwa kuna changamoto za...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
TICHA KIWEMBE Ama kwa hakika Adamu na Eva walifanya jambo la maana sana kulimumunya tunda wailokatazwa na Muumba. Maana wasingelimumunya basi tusingejijua kuwa tu uchi, na tusingejijua kuwa tu...
1 Reactions
1 Replies
6K Views
Anaandika mkuu wa kaya! Kinyangesi. _______________________ Kanuni ya ndoa za sasa: Mwaka wa kwanza: mume anaongea mke anasikiliza, Mwaka wa pili: mke anaongea mume anasikiliza, Mwaka wa tatu...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habari kinavyoseka Nyumban tumezaliwa watoto sita wakike watano na wa kiume ni mmoja ambaye ni mimi beira boy mimi ndo mtoto wa mwisho...
15 Reactions
217 Replies
17K Views
Nilifunga ndoa Mwaka jana, kiubishi bishi bila kujiandaa kifedha, nikiwa kijana mdogo wa miaka 27, mfanyabiashara na Mwajiriwa serikalini. Nimeangalia mpaka sasa nayaona mafanikio makubwa. Mpaka...
28 Reactions
62 Replies
5K Views
Awe na sifa hizi 1.Asiwe na mtoto 2.Awe na upendo wa dhati 3.Asitumie kilevi chochote 4.Awe na hofu ya Mungu 5.18-27yrs 6.Awe Mkristo Msichana ambae kwel yupo serious kuingia kwenye mahusisno...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom