Kipo wapi mkuu???Msaada wakuu hivi iki nn maana yake nimekikuta ndani ya begi la mpenzi wangu tunaeishi nae nyumba moja
Siugeanza picha. Kuliko kuleta manenoMsaada wakuu hivi iki nn maana yake nimekikuta ndani ya begi la mpenzi wangu tunaeishi nae nyumba moja
Kweli kabisa nimeamini kweli we popoma haswaaaaMsaada wakuu hivi iki nn maana yake nimekikuta ndani ya begi la mpenzi wangu tunaeishi nae nyumba moja
Mkuu iv how naweza attach inagomaUkishaattach pia ,,unistue
Km unatumia App. . Bofya Mara moja post yakoMkuu iv how naweza attach inagoma
Msaada wakuu hivi iki nn maana yake nimekikuta ndani ya begi la mpenzi wangu tunaeishi nae nyumba moja
NIKILAMBO KIMEFUNGWA NYUZI NDANI KINA KIKAMBA KILICHO FUNGWA MAFUNGU NA VIPEKE VITATU
Mkuu unaweza nikupe namba nikutumie wasap ukione uku kinagomaVilikuwa vitano vinne kishakutilia kwenye chakula hicho ndiyo cha mwisho.
MchagaKabila gani?
Mkuu imegoma ni txt apa nikutumie ili iki uploadKm unatumia App. . Bofya Mara moja post yako
Angalia juu kabisa kulia, bofya iko kisehem chenye dot dot dot ( tatu )
Kitafunguka ,,Chagua edit ,,, angalia chini kidogo ,,, kuna kitu kipengele chakamera ,, gallery , Emoji n.k.
Km umeshapiga picha ,Chagua Gallery ,,Chagua picha ,automatically itaji upload yenyewe then utaituma post yako ...nasi tutaona ako kadude .
Usikute hata ,nikabanio cha nywele za kwapa ,,unakua na presha