KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,820
Wanalazimisha ichi za africa zichukue wanawake wanaoendana na wazungu(english figure) ambao hawana mvuto kabisaaaa, yaan muafrica af english figure
Haiji kabisa yaan
Kiivyo tutegemee kuburuzwa kila siku
Ingekuwa kila nchi inapeleka wanaoona anafaa hakika tungetetemesha
Inakuaje unapishana na missTz au miss Kenya ata hugeuki
Asee apa tunaonewa asee
Wangekubali hizi sampuli ziende zika tetemeshe
Maonesho yangekuwa na mvuto tofaut na hawa wa English figure
Ambao hawadefine uafrica