Habari zetu wote humu,
Wanaume ni viumbe vyenye uwezo mkubwa sana wa kufikiri, daima huwa hapati hasara wewe unapoona anapata hasara mwenzako anatarget mbali sana, na lazima mwisho wa siku either...
Habarini wadau
Niliongelea kuwa nimejikuta kwenye mahusiano na dada ake na mke wangu baada ya mke kwenda kujifungua nyumbani kwetu. Mazingira niliyobaki nayo na uhalisia yalinifanya nianzishe...
Wakuu habari ktk kuufurahia mwaka mpya nitatoa zawadi hapa kwa members kumi wa kwanza wataoweka namba zao hapa I prefer Tigo ndo itakuwa rahisi zaidi kazi kwenu
Nb zawadi ni muda was maongezi tzs...
Sito sahau tar 17/12/2017,sa 10:45pm,niliweza pata mwanamke mwenye miaka 28, nilimfatilia kwa Muda Mrefu sana bila mafanikio kabisa,wahenga walisema"mtafutaji hachoki hakichoka hupata"kwel...
Wakuu nikisema na furaha mjue nna furaha isiyo na kifani
Ni hivi
Huyu dogo ni wa pili kuzaliwa mimi 1992, yeye 1997 sasa tokea anakua hajawahi kuwa na mienendo ya kike hata sketi haijui zaidi ya...
Jana nmekaa na jamaa mmoja sehemu flan tulivu nikinywa juice na kutafakari mwaka unaisha nmefanya nini na nifanye nini mwaka ujao. Pembeni yangu alikuwepo kijana mmoja amevaa kitanashati sana...
Nambie ungefanyaje,
Unalipiwa kodi ya nyumba tena ya mwaka nzima, chakula, malazi, nguo za mitoko kama kawa bado laki moja na nusu hiyo unapewa kila mwezi ya matumizi mengine madogo tena yako...
SINA MKE NA HAWA SIO WAKE ZANGU, NIMEZAA NAO TU, WAENDELEE NA BWANA ZAO, WASIAMINISHWE WAKIWAACHA BWANA ZAO LABDA MIMI TAWAOA,,,WATAJISUMBUA BURE TU.
1.Bahati, yeye nimezaa naye mtoto mmoja tu wa...
Jmn this is very serious...
Nimekua naenjoy sana kutongoza wanawake, popote pale nikikutana na mtoto wa kike akanivutia lzm nimchombeze, nichukue no ya simu, at last nimtongoze...
Kibaya zaidi...
Hii ni list ya mahari niliyoipata kutoka kabila fulani baada ya rafiki yangu wa karibu kupewa na washenga aliowatuma ukweni.
*. Mkwiji wa Babu 150,000/=
*. Kitenge cha bibi[kiwe wax]
kama...
Wakuu heri ya mwaka mpya mkesha wa jana mdau mwenzenu nilipata kashkash za hapa na pale ishu yenyewe ilianza hivi jana majira ya saa 5:40 usiku wakati nikitafuta hata kamchuchu cha kutoka naye...
Ukihisi na wewe una kibamia usiogope, usihuzunike na wala usione aibu. Kuna wenzenu huko nje hawana hiyana wala aibu na vibamia vyao.
Jionee hapa chini tena mbele za watu mchizi kaegesha kibamia...
Ninampenda sana huyu mwana mwali lkn tabia yake ya choyo hasa kwa upande wa chakula inanipelekea nikate tamaa kuendelea nae ukizingatia mimi mwenyewe sijisii amani pale mgeni wa haina yoyote...
Mimi ni Kijana wa kiume mwenye sifa hizi
Umri Miaka 28
Urefu wangu Futi 6 nchi 7
Uzito Kilo 77
Rangi Maji ya Kunde
Dini Mkristo
Kazi: Electrical Engineer
Natafuta Mwanamke
Umri usiwe zaidi ya 27...
Mwaka unaishia ila kunajambo linanikwaza hadi natamani nisiuvuke mwaka.
Jambo lenyewe nimedumu ktk mahusiano na binti ambaye Mungu ameonesha ufundi wake ila ANANUKA kinywa.
Je, nifanye nini tatizo...
Kwa wale wanaJF walioko kwenye ndoa, ushawahi kujiuliza ni kitu gani hasa kinakufanya ukasirike mpaka kutaka kuua ukisikia mkeo/mmeo anachepuka kwenye ndoa yenu, ukijua kabisa kwamba utam wa...
Kuna ishu ya wadada kutishia kua ana mimbaa na siku zake hazioni baada ya kula tunda alafu ukimwambia mkapime anakwambia nlikuwa nakutania... Hii tabiaa ya kutuibia kwa style hii IISHIEE MWAKA...
Habari zenu wanaJF
Leo nmejiokotea embe chini ya mnazi wallahi. Leo katika ratiba sikupanga kupata papuchi lakini cha kushangaza kabidada kakajilengesha.
Nikamwambia tu kama utani twende kwangu...
Kila napotafuta mchumba nakutana na bahati mbaya. Nimejikuta nawaza au chaguzi zangu mbaya?nimetafakari kwa kina kuwaona watu wazima na ushauri wao kupima. Kuna kada mbalimbali ukiacha uzuri kwa...
Natafuta mchumba kutoka Tanga, Niko chuo umri wangu 23.elimu YAKE form four au six leaver but as I we mwanachuo nikigraduate tu tunafunga ndoa plz aliye tayar inbox me
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.