Aisee kwanini siwez kumtongoza mwanamke pasipo kumwahidi kuwa nikubalie nitakuoa

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,945
Aman iwe wakuu wa jukwaa

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Kwanini mimi siwez kumtongoza mwanamke pasipo kuuingiza neno kumuoa

Yaan nikishuka tu mistari kidogo maneno yanaisha namwambia nikubali bas mimi nina mapenz ya kweli nitakuoa

Nifanyeje ili nisiwe nawaaihid kuwaoa

LONDON BOY
 
Huo sio ujanja ni kukosa mistari na kujiamini!

Rudi shule mkuu wanawake wengi siku hizi walio wajanja huwezi kuwakamata kwa swaga hizi!

Hili swali ngoja waje wajibu wenyewe hawa wanawake kwa nn nao wakiambiwa hivo wanakubali!
 
bila shaka una imani kwamba kila mwanamke anatamani kuolewa hehe,!
Anyways itakua vyema sana km utabadilika na kuwa mkweli kwa kumueleza kile kilichokupeleka pale kwani bila mapenzi ya kweli hakuna ndoa na mwanzo wa ndoa ni uaminifu ukweli uwazi na mahaba mubashara
 
Sasa mkuu kupitia swaga hizi mbona huwa wanakubali wengi sana au wanakuwaga siyo wasomi
 
bila shaka una imani kwamba kila mwanamke anatamani kuolewa hehe,!
Anyways itakua vyema sana km utabadilika na kuwa mkweli kwa kumueleza kile kilichokupeleka pale kwani bila mapenzi ya kweli hakuna ndoa na mwanzo wa ndoa ni uaminifu ukweli uwazi na mahaba mubashara
Mary baby ukiwambia ukweli wanakuchuna hela na kusepa

Lakin ukimwambia kuwa nitakuoa hata hela anakuwa haombi hivyo ni kukipigia usiku na mchana

Hata kama ukimuita gheto anakuja fasta si anajua ataolewa
 
b3c967bb8be42b10d363a1f6d58d7493.jpg
Sielewi elewi bado mkuu
 
pendelea kusikiliza nyimbo za mapenzi kama za diamond na aslay..kisha kariri ile mistari yao.
Pia jitahidi kuhangalia tamthiliya za mapnz.
Sasa wale mbona nyimbo zao zote ni za kulalamika kuachwa tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom