Wakuu heshima kwenu,
Hili jambo ninakiri kuwa ni kama udhaifu wangu yaani nashindwa kutenganisha mapenzi na mambo mengine ya kimaisha, hapa nazungumzia yafuatayo.
1.Maeneo ya masomo.
Hapa sasa...
Heri ya mwaka mpya wana JF!
Napenda kumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kumaliza mwaka 2017 salama na kuanza mwaka huu wa 2018. Mungu atufanyie wepesi, atupe funguo za mafanikio kwa mwaka huu amina...
Maneno ya Mademu na maana zake halisi
*Nisalimie ma mkwe jaman*= Demu wa dizaini hii ni mcheshi,anajiamini, ni mama bora wa badae,ana hofu na Mungu ila usikimbilie kumuoa,mcheleweshe kwanza huwa...
Wakuu habarini..
Huwaga natumia hii forums kusoma tuu ila nimeona na mimi nilete langu ili nipate majority opinions jinsi gani naweza solve hii inshu kwa busara..
Huyu mwanamke tumezaa nae mtoto...
Jamani natafuta girlfriend ila awe serious maana huu upweke sasa unaelekea kuniua... Nimechoka kukaa peke yangu upweke noma sana...Nataka mtu Mstaarabu, Mpole kiasi , Mwenye Kupenda Maendeleo...
Habar zenu wana jf natumaini waziwa wa afya njema Mimi pia mzima wa afya
Kama kichwa cha habar kinavyosema hapo juu. Nina rafki yangu ambae anampenzi wake sasa huyu mpennzi wake kaanza...
Mzuqa wanaJF,
Huu Ni utafiti wa kweli. HAKUNA Faraja ya moyo Kama kupendwa Na demu mkaree ama mwanamke. Kupendwa kwa dhati Hadi anakupa hela siyo wewe kijana umpe hela.
Cha kwanza demu hasa...
Heshima kwenu wakuu.
Kwa Uchunguzi wangu, nmegundua wanawake wa Bongo waliotulia ni wachache sana. Kwa kila wanawake kumi aliyetulia ni mmoja. Wengi wanaponzwa na tamaa na starehe kuliko kazi...
Nashukuru Mungu tangu huu mwaka uanze sijavunja amri ya sita kabisa.
Kwa mliokwisha kuvunja amri hii njooni hapa mtubu. Msiwe wabishi maana Mungu anawaona.
Mods naomba mu edit ni 2018.
Hivi mpenzi wangu atakuwa na nini moyoni mwake nikianza kujipodoa anaongea ongea unajipodoa unaenda wapi wakati uko hapa hapa. Hii hali inaniumiza kwasababu mimi nimeshazoea kujipodoa.
Naombeni...
Najua wapo watakaonipinga ukweli ni kwamba mwanamke yoyote ambae amefika umri wa kuolewa lakini jamii huwa inamuona ni muhuni tuu.
Imefikia hatua mwanamke akiwa hata anaishi peke yake jamii...
Wakuu habari,
Nilikua na kademu Fulani ivi na tulipendana zaidi ya sana.Na mapenzi haya huenda yalihimarishwa na changamoto na misukosuko ambayo tumewahi kupitia kipindi cha nyuma.
Kwao ni...
Kama tu uko na akili timamu optimal health (psychological, emotional, physical, spiritual and intellectual basi ni lazima unawaza kuwa kuna siku utaolewa, au unatamani kuolewa. Sasa, hata kama...
Baba yangu alifariki nilipokuwa na miaka miwili hivyo sijawahi kupata mapenzi ya baba kabisa....na mama alinizaa akiwa sekondari miaka ya 80s .....kwa hyo nimekulia kwa bibi tena kijijini ...miaka...
Sikuwa na mtazamo hasi na single mothers. Siku zote nilidhani huwa wanasingiziwa hivyo siku na shaka juu yao. Ila sasa nimeelewa si kwa wote ila mara nyingi ukikuta mama aliyezaa alafu...
Kwakweli nina mke na watoto watatu nimeoa 2007 ila nimechepuka na wanawake watatu mwaka huu na sababu zote mke wangu alisabababisha kwa asilimia kubwa.
1.Aliponiambia kwa hasira hawa watoto...
01. Mafanikio sio mojawapo ya magonjwa yanayoenezwa kwa njia ya ngono, kwa hiyo acha mara moja kuzini na wanaume kwa ajili ya pesa walizo nazo. Fanya kazi kwa bidi i !
02. Usivae wigi kwa miezi 9...
Hii tabia ya kuamkiana "shikamoo" wakati ki-umri tuko sawa muache au ndo mnatunyima mbu.n.y.e zenu kisairensa...utakuta lidemu likuuuubwa ile kulisalimia tu "mrembo mambo???" Utasikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.