Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kinachofurahisha si watu huuana wao kwa wao, bali ni watu huua watu. #mithalizetu
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jirani yetu alikuwa na house girl mkali kinoma!! Ila kipindi hicho mimi nilikuwa bado ka-student na ilikuwa likizo time so nikaamua kukatokea faster kabla likizo haijaisha bila kutegemea mtoto...
2 Reactions
99 Replies
109K Views
Habari Katika familia yetu tumezaliwa watoto wanne ila mmoja wapo alishafariki. Tumelelewa vizuri na wazazi wetu wote wawili vizuri sana. Sasa jambo linalolishangaa ni sisi wenyewe ndugu kuto...
5 Reactions
199 Replies
17K Views
Miaka ya nyuma kulikua na mkao wa kike na kiume, ila sasa waneona ni gender stereotypes na fashion, hakuna wa kike wala wakiume. Imagine mtu anatanua miguu kutoka kinyerezi hadi Ubungo. Tena si...
11 Reactions
55 Replies
9K Views
Jana nilikutana na kichaa wangu m1, mdogo ana miaka 25, dogo ana akili za maisha balaa, ananieleza drama alizokutana nazo akiwa ana date Nimerudi toka SA, last week kibiashara, nikaamua kujitoa...
4 Reactions
66 Replies
8K Views
Nimepitia kila ushauri wa kila mmoja wenu na nimejifunza mengi Sana. .... Na Naahidi kuyafanyia kazi ambayo nimejifunza. Mungu awabariki Sana kwa ufariji wenu.Asanteni Sana...
8 Reactions
21 Replies
3K Views
nawasalimia wadogo zangu na wakubwa zangu ...kuna kitu mimi nafikiria sana ....*JE WAJUWA KUWA KAMA WANAUME NIWACHAFU MANYUMBANI KWAO LAKINI KIMWILI WASAFI KABISA?? NA JE WAJUWA KUWA WANAWAKE...
5 Reactions
126 Replies
9K Views
Habari za wanaJF? Mimi ni kijana kitanzania, nipo hapa Dar es Salaam. Baada ya kushughulika na michakato ya maisha, hasa kuweka mikakati mizuri. Sasa muda wa kuoa ndiyo umefika. Sasa ninahitaji...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ninayempenda humu jf awe na macho kama miss natafuta! miguu kama miss chaga, kiuno kama mbitiyaza, macho kama sky eclat, shingo kama nifah, bambataa kama beef lasagna, kifua kama heaven sent...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Wana mmu hamjambo? Heri ya mwaka mpya 2018! Leo nataka nizungumze na wadada wenzangu juu ya upuuzi wa wanaume wa kuomba namba (za simu) Uombaji wa namba ni kitu nakichukia sana kwa sababu kama...
5 Reactions
205 Replies
26K Views
Mume anapotaka kumuingilia mkewe, inampasa daima aseme: بِسْمِ الله اللّهُـمَّ جَنِّبْنا الشَّيْـطانَ، وَجَنِّبِ الشَّـيْطانَ ما رَزَقْـتَنا Bismillahi, Allaahuuma Jannibnaa-sh-Shaytwaan, Wa...
32 Reactions
178 Replies
28K Views
Salute wana-JF! Yangu ni machache tu. Mimi ni mwanamume wa miaka 43. Nilioa tukaachana kutokana na matatizo ya ndoa [details nazihifadhi]. Tulijaliwa watoto 3. Siwezi kuishi maisha yangu...
3 Reactions
96 Replies
6K Views
Wakuu, Hivi ni sahihi kama unahitaji mke wakuoa mwenye ndoto kama zako, kumfunguliaa biashara ili awe msimamiaji akishindwa kuisimamia vizuri ikaharibika uachane nae? Maeneo mengine kama...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Wana JF, Ninakerwa na tabia ya wanaume wenzangu ambao wamekuwa na tabia ya kuwashobokea wanawake wenye magari. Hivi wewe mwanaume hujiulizi huyo mwanamke kapataje hilo ndinga? Utakuta mwanamke...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ilikuwa kwenye mida ya saa mbili usiku wakati tumekaaa kwaajili ya chakula cha usiku. Wakati nakula simu yangu ikaita kuangalia mpigaji ni mpenzi wangu Sam ila nikashindwa kunyanyuka kwenda...
3 Reactions
18 Replies
23K Views
Habarin ndugu zangu. Jana April 13,2017 niliwah hapa Arusha, nikaamua kujisogeza kidogo 'Picnic Pub' kwa ajili ya kupata moja moto, moja baridi. Huku nikiangalia mpira taratibu. Basi kukawa na...
16 Reactions
230 Replies
27K Views
Habari zenu bwana, Hivi hii imekaaje? Kuna mjamaa mmoja nilikuwa nae alikuwa anazungumzia habari za wasichana, na jinsi mwanaume anavyo weza mshawishi msichana amkubali Huyu mjama anadai kuwa...
0 Reactions
7 Replies
992 Views
Wangapi wamefanikiwa kupata wenza humu? Maana siamini naona kama maigizo tu ya pwagu na pwaguzi
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Madonna 1986 Who's that girl?
3 Reactions
6 Replies
782 Views
Back
Top Bottom