Mwanamke niliyemchukua bar usiku kanifanya vibaya

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,581
Habarin ndugu zangu.

Jana April 13,2017 niliwah hapa Arusha, nikaamua kujisogeza kidogo 'Picnic Pub' kwa ajili ya kupata moja moto, moja baridi. Huku nikiangalia mpira taratibu.

Basi kukawa na mhudumu mmoja mwenyeji wa Karatu,anaitwa Emmy akawa ndo mhudumu wangu.Nikienda msalani,analinda simu zangu na pombe kwenye glass.Maisha yakawa yanaenda vzr tu huku mijadala mbalimbali hasa swala la Daudi Bashite likiwa haliwatoki watu midomoni.

Usiku mnene ukaingia.Basi nikamwambia yule mhudumu (rafiki yangu) ajaribu kuniangalizia mtoto mkali wa kiMbulu akanipe raha.Na alifanya hivyo.

Walipofunga hiyo Pub, tukahamia Shivas kunywa kidogo ili twende tukalale.Nikajichanganya nikaagiza Konyagi kubwa (JIBAPA) ili nipate msukumo zaidi kitandani.Actually huwa nafanya hivyo.Tulimaliza hapo tukaenda kulala.

Nakumbuka kwa mbali sana kwamba nilifika Hotelini niliwa nae lakn sikumbuki kilichoendelea.Nilikuwa na TZS 600,000,simu 2 na iPad....kabeba vyote nimebakiwa na hii simu 1 tu na ndo naamka, njaa imenibana, nina kiu mno ya vitu vya sukari vya baridiii,sina hata 100.

Jina lake silikumbuki na namba yake sina ,hatukupeana.

Naombeni ushauri na msaada. Kwa sasa nipo stand ya mabasi Arusha.

Asanteni
 
kaka hadi umri huo unaibiw Kiboya hivo..

wenzako tukijua tuna one night stand. huwa tunafanya quick decision kabla ya yote

wenzako tunaficha hela nyingi na smart phone kwenye gari na tunaizima kabisa.. chini ya buti sehem kwenye spear tyre.

kusha tunabaki na kitochi tu na hela kiasi ya drinks ndio tunabeba mzigo kuuingiza hotel.

hata akiiba hawezi kukudhalilisha.. hawanaga akili za kuiba magari.

na hata hotel mpe tip receptionist akulinde usiibiwe.. 5000 ni nyingi sana kwa mhudumu wa hotel kukulinda usiibiwe.. hata akiiba mhudumu wa hotel haruhusu atoke mwenyewe sababu umempooza
 
Habarin ndugu zangu.

Jana April 13,2017 niliwah hapa Arusha, nikaamua kujisogeza kidogo 'Picnic Pub' kwa ajili ya kupata moja moto, moja baridi. Huku nikiangalia mpira taratibu.

Basi kukawa na mhudumu mmoja mwenyeji wa Karatu,anaitwa Emmy akawa ndo mhudumu wangu.Nikienda msalani,analinda simu zangu na pombe kwenye glass.Maisha yakawa yanaenda vzr tu huku mijadala mbalimbali hasa swala la Daudi Bashite likiwa haliwatoki watu midomoni.

Usiku mnene ukaingia.Basi nikamwambia yule mhudumu (rafiki yangu) ajaribu kuniangalizia mtoto mkali wa kiMbulu akanipe raha.Na alifanya hivyo.

Walipofunga hiyo Pub, tukahamia Shivas kunywa kidogo ili twende tukalale.Nikajichanganya nikaagiza Konyagi kubwa (JIBAPA) ili nipate msukumo zaidi kitandani.Actually huwa nafanya hivyo.Tulimaliza hapo tukaenda kulala.

Nakumbuka kwa mbali sana kwamba nilifika Hotelini niliwa nae lakn sikumbuki kilichoendelea.Nilikuwa na TZS 600,000,simu 2 na iPad....kabeba vyote nimebakiwa na hii simu 1 tu na ndo naamka, njaa imenibana, nina kiu mno ya vitu vya sukari vya baridiii,sina hata 100.

Jina lake silikumbuki na namba yake sina ,hatukupeana.

Naombeni ushauri na msaada. Kwa sasa nipo stand ya mabasi Arusha.

Asanteni
Inaonekna hutoagi sadaka kanisani /msikitini kuwa mpole
 
kaka hadi umri huo unaibiw Kiboya hivo..

wenzako tukijua tuna one night stand. huwa tunafanya quick decision kabla ya yote

wenzako tunaficha hela nyingi na smart phone kwenye gari na tunaizima kabisa.. chini ya buti sehem kwenye spear tyre.

kusha tunabaki na kitochi tu na hela kiasi ya drinks ndio tunabeba mzigo kuuingiza hotel.

hata akiiba hawezi kukudhalilisha.. hawanaga akili za kuiba magari
Eti amekunywa bapa utafikiri yuko kwa mkewe ambae asubuhi atampikia supu.
 
Back
Top Bottom