Principal Focus
JF-Expert Member
- Jan 4, 2013
- 913
- 547
Kinachofurahisha si watu huuana wao kwa wao, bali ni watu huua watu. [HASHTAG]#mithalizetu[/HASHTAG]
Endelea kufikiria mpaka ukaribie kile ninachofikiria.Mimi kinachonifurahisha ni wewe maana bado sijaelewa ulichomaanisha !!
Endelea kufikiria mpaka ukaribie kile ninachofikiria.Mimi kinachonifurahisha ni wewe maana bado sijaelewa ulichomaanisha !!
HapanaUnaota?
HuendaKinachonifurahisha duniani ni;
Watu kujiona wakamilifu wakati wana madhaifu hadi mengine wanayajua wake zao
Oky Mkuu usik mwmEndelea kufikiria mpaka ukaribie kile ninachofikiria.