Asanteni Sana kwa ushauri wenu.

Asanteni Sana kwa ushauri wenu.

My god win

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
361
Reaction score
240
Nimepitia kila ushauri wa kila mmoja wenu na nimejifunza mengi Sana.

.... Na Naahidi kuyafanyia kazi ambayo nimejifunza. Mungu awabariki Sana kwa ufariji wenu.Asanteni Sana [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Kwa nini huu uzi hauunganishwi? Hiyo asante si ungetoa kwenye uzi ule ule?
Unatujazia Server zetu
 
Nimepitia kila ushauri wa kila mmoja wenu na nimejifunza mengi Sana.

.... Na Naahidi kuyafanyia kazi ambayo nimejifunza. Mungu awabariki Sana kwa ufariji wenu.Asanteni Sana [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Asante kwa kushukuru
 
Najua sasa hivi una kazi kubwa sana ya kujibu watu huko PM. Wengi wanakushawishi kuwa watakuoa. Nakushauri kuwa nao sana makini.
 
Mimi sikufuati PM, natak unifuate wewe.

Tutatangaza ndoa yetu humu.

Karibu.
 
Najua sasa hivi una kazi kubwa sana ya kujibu watu huko PM. Wengi wanakushawishi kuwa watakuoa. Nakushauri kuwa nao sana makini.
[emoji16][emoji16][emoji23].wataondoka Kama walivyokuja. Sijasema natafuta Mume.
 
Nimepitia kila ushauri wa kila mmoja wenu na nimejifunza mengi Sana.

.... Na Naahidi kuyafanyia kazi ambayo nimejifunza. Mungu awabariki Sana kwa ufariji wenu.Asanteni Sana [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Ukipata muda pitia pm yako nimekutumia makala itakusaidia pakubwa
 
[emoji16][emoji16][emoji23].wataondoka Kama walivyokuja. Sijasema natafuta Mume.
Usijali mama. Humu kuna kila aina ya watu ni sawa na mkoa wenu. Kwahiyo usijali wachache wakikuuzi. Cha msingi ni KUCHUKUA KILE KIZURI TU.
Ubarikiwe sana. HAYA YOTE YATAKWISHA. MUNGU AWE PAMOJA NAWE
 
Back
Top Bottom