Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nipo dar-es-salaam mwaka wa kwanza CLINICAL MEDICINE natafuta mchumba...weka # nitakutafuta mimi
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Hivi ni kweli mtu unaweza kulogwa usipate mpenzi pamoja na uzuri au uwezo wa kifedha ulionao? Au kurogwa sehemu za uzazi kwa me/ke zisifanye kazi kiasi cha kuwapoteza wapenzi wako? Nimekutana na...
3 Reactions
32 Replies
7K Views
Habari ya ijumaa hii ndugu zangu, Kina dada na wadau wengine naombeni ushauri jinsi gani naweza kum retain huyu mwanamke. Huyu mpenzi wangu yuko nje ya mkoa wa Dar es Salaam, sasa jana nikaopoa...
2 Reactions
94 Replies
8K Views
Hello guys Kitabu kiliandikwa na Esther Vilar, kinaitwa "The Manipulated Man" kilitolewa mwaka 1978 synopsis ya hicho kitabu ni kama ifuatavyo: 1) Wanawake hawawi oppressed ila wanatumia system...
62 Reactions
244 Replies
26K Views
Hii inauma na,kuchoma kama pasi pale mume/mupenzi anapoacha njia juu na kuchepuka. Sasa inauma zaidi mume kuweka mchepuko endelevu yahn kila siku unamfumania na mchepuko huo huo mmoja hii...
9 Reactions
73 Replies
5K Views
Nilipata kuwaeleza mkasa ulionipata cku chache zilizopita kuhusiana Na kutembea Na mwanamke mwenye HIV, nashukuru kupitia ushauri wenu nimeweza kuijenga familia yangu, sas naendelea Na PEP, nione...
1 Reactions
9 Replies
947 Views
Wakuu niende kwenye topic kuna Demu Mmoja ivi tulikutana nae Maeneo ya chuon yeye ni 1st year tulipanda nae gari moja kwenda chuoni katika kupga stori akaniomba namba nikampa baada ya kushuka...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Rafiki yangu kaoa miaka takribani minne hivi iliyopita ila yeye na mkewe wapo mikoa mbalimbali kutokana na ajira. Tangu mwishoni mwa mwezi jana nimeanza kuhisi jambo tofauti kwa huyu jamaa. Yupo...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Hivi mwanamke na mwanaume wanapaswa wawe na tofauti ya kilo ngapi ili iwe raha kwenye mambo yetu ... Maana kuna watu wengine ni wanene wote utasema wanacheza mieleka kumbe ni sex au unakuta...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Bwana nyie ni wasumbufu mnapenda maubuyu sana. Kwani mnadhani nishakuwa na wachumba wangapi? Wale niliowaelezea ndo hao tu watatu niliokuwa na uhakika nao hao wengine ni vibaka tu wa papuchi ...
3 Reactions
51 Replies
5K Views
Hodi wadau wa JF. Nami nimekuja hapa kwa mara ya kwanza nikiomba ushauri. Nimepata mpenzi mwaka jana mwishoni mwa mwaka (penzi letu bado changa kama miezi 3). Tumebaatika kupendana sana kwa dhati...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Hi dunia haiishi vituko kwani chiu za sikuhizi zimefungwa motaaa?! Juzi Katie alitumwa jinga moja kuni-snitch katolewa huko kijijinu ndani ndani akaanza na vuruguuu Nikatonywaa na watu wangu...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Yaliyojiri 2017 January-Chuma Kinachaji Betri February Mapenzi Mubasharaaaaa List ya wauza unga✍ March Bashite Nape OUT April Naliamsha Dude Roma ametekwa na kupatikana akiwa salama...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wana jf Katika harakat za ujana nilishawahi kuwa na mahusiano na kaka mmoja niliamua kumsave PROBLEM kama jina kwenye sm yangu. Sababu Ana wivu sijawahi kuona hata kaka angu anaweza sema...
2 Reactions
82 Replies
8K Views
imefika mahala mimba imeonekana kama accident vile unakuta bint usichana anautaka na pesa anaitaka.. wa dizain hii mara nyingi mwili ndiyo silaa kuu ya mawindo yake, unakuta malengo hayajatimia...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Hi.. Nimekumbuka kastori Fulani Leo kuna MTU na jirani yake sasa huyo mmoja ana roho mbaya sana siku moja akaambiwa achague kitu kimoja anachokitaka lakini masharti atakapochagua yeye kimoja...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Mahalat, This is special for you.... Mmuah mmmuuaahhh! ! Tabasamu lako kwa DP ndo stafutahi yangu, mlo wa mchana na usiku kisha nakunywa maji nalala, tosha kabisa. Wewe ni kila kitu kwangu...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Habarini za jion? Mimi ni kijana ambaye naish maisha yangu mwenyewe maana bado sijaoa, nina tatizo moja ambalo kwa muda mrefu nimekua nikiliona ktk maisha yangu toka nimeanza kujitegemea. Yaan...
1 Reactions
40 Replies
3K Views
Habari? Nimefungua Uzi huu kuweza kuelimishana na kubadilishana mawazo juu ya kinachoendelea juu ya WANAWAKE WETU NA UTANDAWAZI, Neno utandawazi simu hizi limekuwa kama sehemu yetu ya maisha...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Amani kwenu wadau Juzi kati ilikua ni kumbu kumbu ya siku ya kuzaliwa mamsapu,sasa kulingana hali ya maisha ni ngumu ,na yeye kulipokucha aliniambia baba timdwa leo ni siku yangu ya kuzaliwa...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Back
Top Bottom