Pikipiki (bodaboda) huchangia uke kutanuka

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,559
Reaction score
3,811
Miaka ya nyuma kulikua na mkao wa kike na kiume, ila sasa waneona ni gender stereotypes na fashion, hakuna wa kike wala wakiume. Imagine mtu anatanua miguu kutoka kinyerezi hadi Ubungo.

Tena si maramoja, yan daily mtu akitoka kazini.Tena wao wanaona fashion kutanua sana na kubinua kiuno ili waangaliwe wanachura then baada ya muda wanataka dawa za kubana uke au waseme watu wanakibamia.

Hivi vitu ni vya kua makini navyo sana bora upande guta unyooshe miguu.
 
miaka ya nyuma kulikua na mkao wa kike na kiume, ila sasa waneona ni gender stereotypes na fashion, hakuna wakike wala wakiume.

imagine mtu anatanua miguu kutoka kinyerezi hadi Ubungo,
tena si maramoja, yan daily mtu akitoka kazini .
tena wao wanaona fashion kutanua sana na kubinua kiuno ili waangaliwe wanachura. then baada ya muda wanataka dawa za kubana uke.
au waseme watu wanakibamia.

hivi vitu ni vya kua makini navyo sana bora upande guta unyooshe miguu
Umevurugwa!
 
usiwatetee maana kuna wengine watakuja hapa kusema walikua wanaendesha baiskeli wakagonga ukuta bikira zao zikatoka
 
miaka ya nyuma kulikua na mkao wa kike na kiume, ila sasa waneona ni gender stereotypes na fashion, hakuna wakike wala wakiume.

imagine mtu anatanua miguu kutoka kinyerezi hadi Ubungo,
tena si maramoja, yan daily mtu akitoka kazini .
tena wao wanaona fashion kutanua sana na kubinua kiuno ili waangaliwe wanachura. then baada ya muda wanataka dawa za kubana uke.
au waseme watu wanakibamia.

hivi vitu ni vya kua makini navyo sana bora upande guta unyooshe miguu
Wewe uke wako umetanuka? ili tukubaliane na research yako?
 
Uongo! Nimeendesha pikipiki for 20 yrs uke wangu haujawah tanuka! Acha habari zako

unaumri gani? kama ulianza kuendesha 1997/8 ulikua unatumia ainagan ya piki piki? unamume au wa show time and one night stand?

ukinijibu api tutaenda sawa
 
miaka ya nyuma kulikua na mkao wa kike na kiume, ila sasa waneona ni gender stereotypes na fashion, hakuna wakike wala wakiume.

imagine mtu anatanua miguu kutoka kinyerezi hadi Ubungo,
tena si maramoja, yan daily mtu akitoka kazini .
tena wao wanaona fashion kutanua sana na kubinua kiuno ili waangaliwe wanachura. then baada ya muda wanataka dawa za kubana uke.
au waseme watu wanakibamia.

hivi vitu ni vya kua makini navyo sana bora upande guta unyooshe miguu
Uongo!! Uke mkubwa hutokana na uzazi, dushe kubwa na umbile la asili.
 
Back
Top Bottom