Wanaume kushobokea wanawake wenye magari ni ushamba

Wimsha

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
518
503
Wana JF,

Ninakerwa na tabia ya wanaume wenzangu ambao wamekuwa na tabia ya kuwashobokea wanawake wenye magari. Hivi wewe mwanaume hujiulizi huyo mwanamke kapataje hilo ndinga?

Utakuta mwanamke kapaki ndinga lake yuko alone anajipatia ki wine chake midume inaanza mashobo. Ukiombwa hela ya mafuta tu unakuja kulia kulia huku JF.

Kama mmelogwa utasikia mnajisifia ohhh mwanamke ana ndinga kali so what?

Pambana na hali yako acha kutuaibisha
 
Kama similiki chombo chochote cha moto gari au pikipiki siwezi mtongoza mwanamke mwenye ndinga.
 
Kushoboka ni Tabia, kama Mtu ni Mshobokaji anaweza pakuliwa bila hata kutongozwa..,
 
sasa hao wanawake wenye magari hawabanduliwi ?
au mpaka uwe na gari ndio upate ruksa ya kumbandua ??
 
Back
Top Bottom