Bila kudanganywa/kuongopewa awakubali

Bila kudanganywa/kuongopewa awakubali

torvic

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2016
Posts
4,490
Reaction score
11,196
Habari zenu bwana,
Hivi hii imekaaje? Kuna mjamaa mmoja nilikuwa nae alikuwa anazungumzia habari za wasichana, na jinsi mwanaume anavyo weza mshawishi msichana amkubali

Huyu mjama anadai kuwa wanawake wa sasa wengi ukiwaongopea kwa asilimia 75 kama sio asilimia zote, inakuwa rahisi sana kulainika na kukuelewa

Mimi nilijaribu kutupia ma pwoint yangu kwa mjamaa, nikamwambia ukitaka msichana akuelewe wewe mwambie ukweli tu ukiwa unatupia madini yako

Muda umepita sasa na nimewatokea wanawake wachache kwa kutumia uongo mwingi na naona wanakuwa much attractive na mimi kama nikiwaongope kuliko kuwambia ukweli

Sasa nahoji, hivi nyie wasichana kwanini mnapenda sana kudanganywa na kuongopewa kwenye mausiano? Na mbaya zaidi ukikutana na mtu anakwambia ukweli basi unamuona zuzu alijui mapenzi.

Wadau mlio waongopea wasichana wa watu mpaka wengine wakatak kujinyonga, embu njoeni hapatoe shuhuda zenu juu ya hii ishu
 
Wakati nasoma chuo, kuna binti mmoja aliingizwa kingi laivu uku naona kwa kudanganywa tuu. Jamaa katupia saundi akamwambia anasoma petroleum engineering kumbe jamaa alikua anasoma dip ya mineral exploration, mtoto wa watu sijui alitegemea nini akajaa...

basi hadi leo mi hawa viumbe naona bila kuwadanganya kwanza utaishia kuwaita mashemeji tu
 
Back
Top Bottom