Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wadau, Nimeamua kuleta uzi huu humu natarajia kuchukua kuanza likizo 31 January, bila kumshirikisha mke wangu, maana yeye amekuwa akining'ang'aniza niende kwao kigoma kwani ni mwaka wa 2.5...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Wengi wenu mmezoe dada kuwalengeshea rafiki zao ambao ni wakali tena anakuita kabisa chemba anakuambia "kaka chukua mzigo huo umetulia mimi nakurekebishia kila kitu" na kweli unakwarua mzigo...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Aisee juzi hapa,mpenzi wangu alipitia home na best ake! Ofcoz she's cute bwana(mashalaah) hamzidi kipenzi changu! and huyo shem ndie alikuwa na usafiri so nikama waliongozana tu...
4 Reactions
112 Replies
10K Views
Atataka kila akitakacho ukifanye, usipokifanya ataenda kanosani au masjid. Akiona huku hakifanyiki ataenda kwa waganga. Mostly wanataka wakupande kichwani
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Wakuu nawasalimu salamu za nwanzo wa wiki. Kama kawaida January hii nimeanza ajira mpya katika kampuni flani (ndo nimeajiriwa this January). Ile nimefika pale watoto wa kike wa pale ofisini...
10 Reactions
147 Replies
14K Views
Si wanawake si wanaume kila anaetafuta mchumba lazima aweke kigezo cha ukirsto Mabro na masister wakikristo ndoa kwenu imekuwa shida au yale magharama kuanzi kitchen party mpaka sendof yanawafanya...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Jamani jamani nyinyi wanaume mbona baadhi yenu hamna huruma jamani kwa wake zenu? Nilikuwa najua mwanaume ndo mtu wa kwanza mwenye huruma kwa mkewe lakini sivyo. Aisee kuna wanaume hawawazi kama...
5 Reactions
40 Replies
4K Views
Hivi wanaume wanakosaga mwanamke wa kuoa? Inawezekana kweli au ni swaga zenu tu ili tujiweke tuliwe?
10 Reactions
67 Replies
8K Views
ee bwana uyu mtoto wa kike katokea kunivutia zaidi ya miaka mitatu sasa kaja kunkubali july 2017 sasa naona mapenzi yamekuwa moto saivi! idea yangu ni kumuoa, ila kutokana na shuguli yangu ya...
5 Reactions
41 Replies
3K Views
Habarini za asubuhi wanajamvi wa hili jukwaa ni asubuhi bado na mda wa kuanza pilika ndo huu lakini nimeona kushare nanyi swala langu hili kidogo. Binafsi nimewahi kua kwenye mahusiano ya mapenzi...
4 Reactions
12 Replies
5K Views
Huu uzi naomba uwe maalum kwa wanandoa tuliobarikiwa kuachana na habari za michepuko na kuamua kuongeza jiko lingine au zaidi kama haikuhusu pita usitingishe hali zetu! Wakubwa wenzangu njooni...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Happy Saturday everyone, I've just made up my mind, that's Kasie. .... walking away........ Bye byee. .... Kasie Fire 2018.
8 Reactions
122 Replies
6K Views
1 KAMA maji ya bahari ya hindi yangekuwa na hisia, basi yangejisiskia fahari sana kwa kupata fursa nyingine ya kuiburudisha miili ya viumbe hawa wawili ambao walikuwa wakiogelea kandokando ya...
2 Reactions
69 Replies
16K Views
Maoni yenu yakoje kuhusu hili, ila wapo wababe tutawasikia tu.
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Nawasalimu naomba ushauri kwa wajuvi wa mambo humu. niko humu tokea 2O13. I never post anything leo nimekuja tushauriane. Kuna mrembo mmoja tulikutana safarini, 2014 ndani ya Precision...huyu...
3 Reactions
84 Replies
7K Views
wazee ni chuo kipi kina pina zaukweli hapa tz?
0 Reactions
26 Replies
11K Views
Nilikuwa nikiishi na mwanamke kwa kipindi cha miaka miwili. Nilibahatika kupata naye mtoto. Tulikuwa hatujafunga ndoa. Mtoto alipofikisha miaka miwili nilipata skolaship ya kwenda kusoma...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Hivi hawa wanawake walioolewa huko majuu je huwa wanafanya shughuli gani za kuongeza kipato cha familia zao? Au wanabaki kuwa mabeki tatu wakisubiri waletewe kila kitu na waume zao?
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wana JF Ukimpiga mwanamke (natumia mwanamke ili kujazia umri wowote ule) unaambiwa unamnyanyasa au umemdhalilisha na kuna maneno mengi yanayotengenezwa na kuhalalishwa ilimradi tu mwanaume...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…