Nimechukua likizo sitaki mke wangu ajue

Nimechukua likizo sitaki mke wangu ajue

Kremme

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
471
Reaction score
496
Habari wadau,

Nimeamua kuleta uzi huu humu natarajia kuchukua kuanza likizo 31 January, bila kumshirikisha mke wangu, maana yeye amekuwa akining'ang'aniza niende kwao kigoma kwani ni mwaka wa 2.5 huu toka nimeoa sijawahi kwenda kwao.

Sasa ishu iko hivi mimi kipindi cha likizo ndo napiga pesa ndefu, kuna kazi huwa naifanya ndani ya 28days private institution napiga mkwanja mrefu. Sasa nikienda huko kwao huo mkwanja naukosa.

Nikimwambie tuenda tukae for 2days (yaani nikijiiba govt job ijumaa - Sunday tunageuka yeye hataki anataka at least 2weeks.

Nishauri wenzangu wenye matatizo kama haya mnasolve vipi? Afu mimi wala simkazanii twende kwetu.
 
Hbr wadau,
Nimeamua kuleta uzi huu humu natarajia kuchukua kuanza likizo 31 january, bila kumshirikisha mke wangu, maana yeye amekuwa akining'ang'aniza niende kwao kigoma kwani ni mwaka wa 2.5 huu toka nimeoa sijawahi kwenda kwao. Sasa ishu iko hivi mimi kipindi cha likizo ndo napiga pesa ndefu, kuna kazi huwa naifanya ndani ya 28days private institution napiga mkwanja mrefu. Sasa nikienda huko kwao .. huo mkwanja naukosa. Nikimwambie tuenda tukae for 2days (yaani nikijiiba govt job ijumaa -sunday tunageuka yeye hataki anataka at least 2weeks. Nishauri wenzangu wenye matatizo kama haya mnasolve vipi? Afu mimi wala simkazanii twende kwetu.
Ukithubutu kwenda huko kwao basi kurudi ni bahati.
 
Ukae Kigoma two weeks? Utaboreka esp kama unatoka kwenye jiji kubwa kama Dar. Cha kufanya, yeye mtangulize na treni mpaka aje afike Kigoma, two to three days zimekatikia njiani. Then wewe baada ya wiki, book ndege ya Ijumaa usepe then Jumapili unageuza au unageuza J3 na ndege ya asubuhi, wakati huo yeye ushampakiza kwenye treni 😀 where she will spend onother two to three days.
 
Ukiona Mwanaume anafanya mambo yake tena Kisirisiri huku akijisifu kuwa ama anamficha au hataki Mke wake ajue ujue huyo ana roho mbaya, dharau, mnafiki, hana heshima, ngumbaru, mpuuzi na wa hovyo hovyo. Hivi kama hawa Wanawake huwa hamtaki wayajue yenu huwa ' mnajitutumua ' nini Kuwaoa? Mwanaume mzuri na a real Gentleman hawezi kumficha lolote Mke wake kama kweli alimpenda Kidhati na ni Mama wa Watoto wake. Kuna muda huwa tunawalaumu Wanawake humu ila Mimi nadhani Sisi Wanaume tunachangia na ni sehemu ya udhaifu ambao tunauona kwa hawa Wanawake. Nimechukia kwasababu umesema unataka kumficha Mkeo ila laiti ungesema unataka kumficha Hawara yako hata Mimi ningekuunga mkono. Heshimuni Wake zenu tafadhali!

Kama kawaida yangu leo GENTAMYCINE ' nimenyoosha ' kwani sitaki ujinga.
 
Ukae Kigoma two weeks? Utaboreka esp kama unatoka kwenye jiji kubwa kama Dar. Cha kufanya, yeye mtangulize na treni mpaka aje afike Kigoma, two to three days zimekatikia njiani. Then wewe baada ya wiki, book ndege ya Ijumaa usepe then Jumapili unageuza au unageuza J3 na ndege ya asubuhi, wakati huo yeye ushampakiza kwenye treni 😀 where she will spend onother two to three days.
hahhahhahahahahhahaha
 
mbona wakati upo juu ya kifua huwa hauombi ushauri tukusaidie ha ha.Wewe mwambie achague kwenda kigoma kutumia hela au kubaki Dar kutengeneza hela jibu atakalokupa hapo ndio utajua una mke au mwa\namke hapo nyumbani
Habari wadau,

Nimeamua kuleta uzi huu humu natarajia kuchukua kuanza likizo 31 January, bila kumshirikisha mke wangu, maana yeye amekuwa akining'ang'aniza niende kwao kigoma kwani ni mwaka wa 2.5 huu toka nimeoa sijawahi kwenda kwao.

Sasa ishu iko hivi mimi kipindi cha likizo ndo napiga pesa ndefu, kuna kazi huwa naifanya ndani ya 28days private institution napiga mkwanja mrefu. Sasa nikienda huko kwao huo mkwanja naukosa.

Nikimwambie tuenda tukae for 2days (yaani nikijiiba govt job ijumaa - Sunday tunageuka yeye hataki anataka at least 2weeks.

Nishauri wenzangu wenye matatizo kama haya mnasolve vipi? Afu mimi wala simkazanii twende kwetu.
 
Mkwanja ndiyo unafanya yupo na ww mpk sasa. Sasa ww acha kutafuta Mkwanja ukakae kigoma ndiyo utajua mwanamke siyo ndugu yako
Umezungumza ukweli. Pesa ikiadimika hapo nyumbani ndo utamjua vizur mkeo atamtukana mpaka mama yako mzazi
 
Ukakae bure tu ukweni kwa week mbili??? Et kuwasalimia [emoji3] embu tafuta pesa mkuu simu zipo
 
Habari wadau,

Nimeamua kuleta uzi huu humu natarajia kuchukua kuanza likizo 31 January, bila kumshirikisha mke wangu, maana yeye amekuwa akining'ang'aniza niende kwao kigoma kwani ni mwaka wa 2.5 huu toka nimeoa sijawahi kwenda kwao.

Sasa ishu iko hivi mimi kipindi cha likizo ndo napiga pesa ndefu, kuna kazi huwa naifanya ndani ya 28days private institution napiga mkwanja mrefu. Sasa nikienda huko kwao huo mkwanja naukosa.

Nikimwambie tuenda tukae for 2days (yaani nikijiiba govt job ijumaa - Sunday tunageuka yeye hataki anataka at least 2weeks.

Nishauri wenzangu wenye matatizo kama haya mnasolve vipi? Afu mimi wala simkazanii twende kwetu.

Nani ashauri Ujinga huu, Hivi huyo mtoto ulimwokota barabarani? mbona mnakosa uungwana? wazazi wako ni wake, huo ni ubinafsi, unatakiwa ujitoe kwa mwenzako pia, Likizo ni kupumzika, na kila kitu sio pesa, unashindwaje kutoa week 1 uka kaa Kigoma, HALAFU BAADAE UNAKUJA LALAMIKA, MKE WANGU HANA HISIA NA MIMI, atakuwaje NAZO? WAKATI WAZAZI WAKE WANAMGASI KILA SIKU WAMEMMIS?
 
Mpe nauli akakae kwao muda anaotaka, we fanya kazi sa ukakae ukweni siku zote hizo ili iwe nini?
 
Kwa nini umfiche mke wako. Nadhani mke wako si mpumbavu kiasi cha wewe kumwambia ukweli kuna ishu hela unataka kufanya na akashindwa kukuelewa
 
Habari wadau,

Nimeamua kuleta uzi huu humu natarajia kuchukua kuanza likizo 31 January, bila kumshirikisha mke wangu, maana yeye amekuwa akining'ang'aniza niende kwao kigoma kwani ni mwaka wa 2.5 huu toka nimeoa sijawahi kwenda kwao.

Sasa ishu iko hivi mimi kipindi cha likizo ndo napiga pesa ndefu, kuna kazi huwa naifanya ndani ya 28days private institution napiga mkwanja mrefu. Sasa nikienda huko kwao huo mkwanja naukosa.

Nikimwambie tuenda tukae for 2days (yaani nikijiiba govt job ijumaa - Sunday tunageuka yeye hataki anataka at least 2weeks.

Nishauri wenzangu wenye matatizo kama haya mnasolve vipi? Afu mimi wala simkazanii twende kwetu.
Uende kigoma Friday then Sunday urudi?? Unatumia ungo au? Maana siku hizi Hakuna route za ndege as huko labda charters.

Mkeo anajua mazingira ya kwao Ndio maana anakwambia mtenge Walau 2 weeks, huenda ikawa kwenda tu Itachukua hata 3 days.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom