Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,536
- 5,350
Hivi hawa wanawake walioolewa huko majuu je huwa wanafanya shughuli gani za kuongeza kipato cha familia zao?
Au wanabaki kuwa mabeki tatu wakisubiri waletewe kila kitu na waume zao?
Au wanabaki kuwa mabeki tatu wakisubiri waletewe kila kitu na waume zao?