Kila anaetafuta mchumba moja ya masharti awe mkiristo

beco

JF-Expert Member
May 7, 2013
1,339
782
Si wanawake si wanaume kila anaetafuta mchumba lazima aweke kigezo cha ukirsto
Mabro na masister wakikristo ndoa kwenu imekuwa shida au yale magharama kuanzi kitchen party mpaka sendof yanawafanya mzikimbie ndoa.
 
Ngoja waje
 
one to one function (christians)
one to many functions (muslims)
wakristu ikiwa one to many hao wengine wanaitwa "michepuko" hapo ndo shinda inapoanzia
 
Hata waislamu nao pia siku izi wana hayo makitchen party na masherehe makuuubwaa
 
Si wanawake si wanaume kila anaetafuta mchumba lazima aweke kigezo cha ukirsto
Mabro na masister wakikristo ndoa kwenu imekuwa shida au yale magharama kuanzi kitchen party mpaka sendof yanawafanya mzikimbie ndoa.
Upande wa pili kuna taraka, hii imekua rahis kwa wanaume wa kiislam kuoa kwasababu mke akimshindwa anampa taraka, kuna option ya kuongeza mke kadri ya maamuzi ya mwanaume na uwezo wake endapo pia kama kuna changamoto kwa mke wa kwanza, upande wa kikristo hamna vyote ivyo so wanaume wengi lazima watulie mda uende kidogo, pia wingi nao unachangia, mwisho mfumo wa maisha, ngumu sana waswahili wengi ni waislamu ana oa tu ata akiwa nyumban, na garama pia kuanzia kwenye mahari mpaka harusi,
 
Natafuta mchumba sifa zangu

Mfupi

Mweusi

Sina kazi wala sina njia ya kuniingizia kipato ila nina potential kubwa sana

Mkristo

Nina gubu ilaa naamini utanivumilia

Sifa za mke nimtakaye

Awe Miss worl au Tanzania

Awe Mkristo

Asiwe ana uhusiano na kiongozi yoyote wa kisiasa.

Sasa hivi nipo mahabusu nikitoka nitajibu pm zote
 
Wakristo ni wengi zaidi pia hatuna ndoa za mitala. Kwetu huku mke 1 na mume 1 period..!!
Are you sure kuwa mpo wengi zaidi ya waislam hapa Tanzania? Fanya tafiti za kutosha ujiridhishe maana unaweza ukahisi unaona mbali kumbe macho yana tongo tongo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom