Nimemtafuna mwanamke wa bosi, bosi amejua na ameniambia tukutane ofisini Jumatatu! Maombi yenu tafadhali

Msitari wa pambizo

JF-Expert Member
Sep 25, 2014
2,884
4,896
Wakuu nawasalimu salamu za nwanzo wa wiki. Kama kawaida January hii nimeanza ajira mpya katika kampuni flani (ndo nimeajiriwa this January). Ile nimefika pale watoto wa kike wa pale ofisini wakaanza kunishobokea, kuanzia wafanya usafi mpaka officers basi nikajipa muda wa wiki kama mbili hivi nijiridhishe kwamba wapi hasa nitue...

Baada ya hapo niliweka majeshi yangu kwa mtoto wa kitanga mashallah Mungu kamjalia, nikatupa nyavu kuona kama naweza ng'amua chochote kitu.. Cha ajabu wala sikutumia nguvu kubwa kumbe mtoto alikua keshanielewa kitambo ndo mana alikua anajisogeza kila mara..

Basi kama kawaida wikienda ikafika mandalizi ya mechi ya ugenini yakaanza kila mtu amekamia game basi tukaenda uwanja wa nyasi baada ya game kila mtu alifurahi mana kila mtu alifunga idadi sawa ya magoli tukatoka bila bila.

MTITI
Kumbe yule dem bana ni chakula cha wakubwa basi ile Jumamosi tumeachana pale kaenda kwa boss nako kutoa huduma, boss kachukua simu yake kaangalia conversations zangu akawaka wakazinguana. Nashtuka mida ya jioni dem ananipigia simu amepanic yani kama amepagawa vile ananmbia mambo yameharibika ndo kanipa mchongo mzima kama ulivyo.. Aiseeeee nilihisi kutoka na kijasho chembamba huku mapigo ya moyo yanaenda kasi. Namuuliza yule dem kwamba sasa unanisaidiaje ananambia ye mwenyewe hajui hatima ya kazi yake kwa hyo kila mtu apambane na hali yake. Nikachoka!!

Jumapili asubuhi nakutana na sms "GERALD UKIFIKA OFISINI JUMATATU JITAHIDI UONANE NA MIMI KABLA YA BREAKFAST. WEEKEND NJEMA"
Tangu nipokee hyo sms yani moja haikai mbili haikai.. Wana jamvi tafadhari wenye uzoefu wa kukwepa mitego hii tupeane maujuzi nahisi kufukuzwa fukuzwa vile...
 
Safi sana,acha ufukuzwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom