Habar za weekend
Napenda kuwauliza wanaume kwann hamtaki kujibu hili swali tukiwatext alafu naona mmejaza thread za kuogopa kupigwa mizinga ya x-mas na mwaka mpya.
Hata kupiga simu saivi...
Wakati nilipokuwa na umri mdogo kule kijijini nilikuwa nimezoea mara nyingi sana wakati tukiwa kwenye harakati za shambani au kutafuta kuni huku nikiwa na baba na vijana wengine wakubwa,walipokuwa...
Kwa wadada aliyepo Dar es salaam ana vifaa vya saloon na naviuza ani Pm.
Tukikubaliana mauzo yatafanyika kwa kufata taratibu zisizokuwa na madhara kwa sote
It was just the other day listening to Victoria's* story on the roof of a Manhattan high-rise that I realized something I'd rather not have realized. I've never been in love.
"I'm moving to...
Juzi nilibahatika kukutana na ndugu yangu ambae tulipotea takribani miaka sita au saba hivi, mara baada ya kusalimiana nikagundua anajambo ambalo linamsumbua kichwani mwake mana Mungu kanijalia...
Hali ni ngumu kweli kweli kifedha, nikaamua nimcheki jamaa yangu tuliyesoma nae primary school anipe ramani maana yeye yuko vizuri licha ya kwamba hana biashara lakini mambo yake yamwendea...
Habari zenu wana Jf,
Inasikitisha kidogo lakini ndio mambo ya duniani.
Huyu kijana alioa kwenye familia moja ya kitajiri kiukweli katika familia ile mabinti wa yule Mzee hawajui shida ni nini,Kuna...
Habari za jumapili ndugu zangu..!
Katika mihangaiko ya hapa na pale suala la familia ni muhimu. Nipo katika harakati za kuyafanya mahusiano yangu na binti wa kisukuma kufikia hatua ya ndoa. Jambo...
Aki nnini hii Dunia mbona ako anakandamiza mabibi na mashori kwa mtaa.
Sasa aki mashori niwengi ako anapatwa single bado tena wana engeza na Samanta.
Aki hii dunia ni nini... sasa K ya samantha...
Unakuta mtu amesalitiwa kwenye mapenzi anasema "yani wanaume wote baba yao ni mmoja."
Ama anakuwa na wanaume wawili alafu wakimtenda yeye hajioni lakini anasema "wanaume si watu wazuri ni...
Wa salaam. Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza Wana jamvi, Kuna mdada ambaye niko naye kwenye mahusiano kwa mda Sasa na ilifikia hatua nikapeleka mahari japo nusu ili nimuo.
Siku za karibuni...
2010:London, UK
Ilikuwa jumamosi fulani hivi amazing summer, niliamua kumtembeza rafiki yangu ambae alikuwa mgeni mjini. Ikabidi tufanye mambo ya double date.
Mimi nilikuwa na gf yeye hana kwahio...
Wanaume waliyooa wanawake wa Darasa la Saba, wana Furaha zaidi katika Ndoa, Kuliko waliyooa wasomi.
#Mytake, Nyie jifanyeni mnakuja hapa kutafuta wachumba na Vigezo Elimu Kibao, Mtaishia Kupata...
Hamna huzuni kubwa kama umepata mtoto mpyaaa, mboga nonoo ya dar ukamuomba aje ulipo mkoani akakwambia nywele sijasuka ukatuma hamsini ya kusuka,nauli arobaini kufika siku hiyo hoteli na lodge...
Huyu dada toka nimemfahamu ni mwaka sasa nampenda naye anaonekana kunipenda ana umri wa miaka 23 na ni bikra mtoto mzuri kwa sura umbo na rangi ana kila vigezo vya kupendwa na wanaume 8 katika 10...
Maana kuna mwanamke nliachana nae na alikua amenipa vitu vingi kama mpenzi wake ila siku nlioachana nae alitaka kitu kimoja nikampa vyote alivonipa
Je? Nime yumba au...?
MAPENZI YA DHATI KATIKATI YA UMASIKINI.
SIKU moja wakiwa wamejilaza kitandani, mke alimwomba mumewe amnunulie chanuo kubwa kwa ajili kuchania nywele nyingi ili kuzipendezesha. Kiuchumi, hali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.