Dawa ya wanawake hii hapa

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Wana JF

Ukimpiga mwanamke (natumia mwanamke ili kujazia umri wowote ule) unaambiwa unamnyanyasa au umemdhalilisha na kuna maneno mengi yanayotengenezwa na kuhalalishwa ilimradi tu mwanaume ufungwe.

Hawa ndugu zetu hata akikunyima unyumba maana yake utulie tu ukae kimya, akikupiga ukimrudishia ataenda polisi kukushtaki kuwa ulimpiga basi una kesi ya kujibu, nasikia wapo baadhi ya wanaume wanapigwa ndani ila hawawezi kwenda kushtaki kisa wanaona aibu, nasikia wengine wanafanyishwa kazi za ndani kwa lazima na kunyimwa chakula wanaogopa kushtaki dawati kuwa wana nyanyaswa eti ni aibu kwa mwanaume kulalamika. Sasa tunakokwenda sio. Mwanamke ATAKUTUKANA unakaa kimya hutaki kumshtaki sasa subiri wewe ushtakiwe.

Kuna mdada flani ameolewa kwa taarifa za haraka haraka nasikia amezoea KUMTUSI mumewe na kumfanyia mengi huko ndani kwao yeye akafikiri na kwangu atafanya hivyo hivyo, siku moja nilikuwa naongea na jamaa flan miezi 4 imeisha, nikamshauri kitu kizuri tu kumbe huyu mdada alikuwa jirani na tulipokaa akasikia, si akaanza kunirushia matusi eti kwanini namuelekeza jamaa eti ningemuacha abaki kuwa bwege, dah sisi wameru hatudharauliki na wasichana bhana, makabila mengine naona wanaonewa tu njenje kama ilivyo bahati na sibu ya TATU MZUKA, nilichofikiria ni kumpa kibano ila badae nikajistukia kuwa huyu anaweza akafa au akaumia vibaya nitaishia jela cha msingi nilicho kifanya huwezi amini, nilijitahidi sana kuizuia hasira yangu ishuke.

Siku iyo iyo nilienda kituo cha polisi kumshtaki nikafungua kesi basi hii ndio ilikuwa dawa, maana alipokuwa anachukuliwa maelezo aliulizwa je, aliye kushtaki alikutukana au alikufanyie lolote (nikajua huyu anataka kupendelewa hapa ili niwekwe lopango) hamad, akasema hamna basi nikawa nimepata ushindi wa kumpandisha kizimbani. Msamaha ulioombwa hapo dah hadi wazazi wa binti basi tokea hapo ni heshima na adabu, ila kwa mumewake ndani huko sijui kukoje. HUENDA BADO KUNA MOTO
 
Mtoa mada usidanganye watu asee.
....
Kwa tabia sawa wameru mna kaukorofi kakijinga!!
....
Ila hamna ubavu wa kumpiga mwanamke asee!!, kwanza kimila bakora 12 zinakuhusu ukimgusa mwanamke eti kwa lengo kumpiga.
....
Inabidi nikupeleka mbuguni wewe asee!!
 
Mtoa mada usidanganye watu asee.
....
Kwa tabia sawa wameru mna kaukorofi kakijinga!!
....
Ila hamna ubavu wa kumpiga mwanamke asee!!, kwanza kimila bakora 12 zinakuhusu ukimgusa mwanamke eti kwa lengo kumpiga.
....
Inabidi nikupeleka mbuguni wewe asee!!
Huyo mwanamke wa kisambaa unafikiri ningemuacha ana bahati, angekuwa wa kimeru ningeogopa kushtakiwa kwa katibu wa ukoo lakini huyo ataanzia wapi
 
Mtoa mada usidanganye watu asee.
....
Kwa tabia sawa wameru mna kaukorofi kakijinga!!
....
Ila hamna ubavu wa kumpiga mwanamke asee!!, kwanza kimila bakora 12 zinakuhusu ukimgusa mwanamke eti kwa lengo kumpiga.
....
Inabidi nikupeleka mbuguni wewe asee!!
Nina wasiwasi huwa unatukanwa unakaa kimya
 
Huyo mwanamke wa kisambaa unafikiri ningemuacha ana bahati, angekuwa wa kimeru ningeogopa kushtakiwa kwa katibu wa ukoo lakini huyo ataanzia wapi
......
Tayari umeshaogopa.
...
Uko kuogopa ndiko uko unapswa uwaogope jumla, usituletee habari za 'eti mimi mmeru'.
...
Nowadays hakuna 'mimi mmeru' debe litakuhusu tu jombaa!
 
Nilikuwa na tabia ya Kupiga Mwanamke hasa Wapenzi wangu ila tangia nikalishwe chini na Mama mmoja hivi mwaka 2010 hadi hivi leo hata Mwanamke aniudhi na anichefue vipi nanyamaza zangu tu au nikiona kama hasira zangu za ama Kumjeruhi au Kumuangamiza kabisa zinakuja nachukua tu Kitabu changu Kitakatifu cha Biblia nakisoma huku nikipata ushirikiano wa Kutukuka kutoka kwa Roho Mtakatifu na Malaika Jibril na Mikaela wake kisha hasira zinatoweka halafu baadae zikiisha narudi na kuanza kumrekebisha na hadi tunaenda sawa. Nadhani bila ushauri wa Yule Mama kwa jinsi nilivyokuwa ' nawakung'uta ' Wanawake zangu kwa Wivu wangu tu usiokuwa na Kichwa, Miguu wala Tumbo leo hii ningeshakuwa na Makazi yangu ya Kudumu Keko, Ukonga au Segerea.

Wosia wangu nanyi Wanaume wenzangu hata kama una hasira gani au vipi kwa ama Demu au Mke wako usithubutu ukampiga.
 
Usikae usikilize wanafiki wa kiume wanasema eti "Sitakaa nimpige mke wangu au mwanamke yeyote"!

Hahahaaahaaa

Maongo makubwa na manafiki!

Oa kwanza ukae ndani ya nyumba ndio utaelewa mwanamke kuna kipindi lazima apewe kofi aelewe kwa umakini her true position!Huwa wanakujaribu,sasa hawa wanafiki wanadanganya eti "mwanamke sio wa kupigwa",mwanaume ndio wa kupigwa sasa ndo maana yake!
 
Back
Top Bottom