OHB11
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 602
- 1,464
Habari zenu wakuu nimeamua kuandika huu uzi ili nipate kutambua na niweze kumweka wazi huyu ndugu yangu
Niko na ndugu yangu he is 20 years old lakini hakuwahi kushiriki katika mahusiano ya kimapenzi mpaka amefikisha huo umri sio kwamba hapendi no lakini anapoamua kujaribu kujiingiza kwenye hayo masuala hata unapomforce amsogelee mwanamke aliyemtamani hushikwa na aibu isiyo ya kawaida inayomfanya kukata tamaa na huwa inamuumiza na kujilaumu na kujiona kama yuko tofauti na other men na humfanya kuwa na stress often je hili ni tatizo wakuu na kama kweli tatizo je ni upi ufumbuzi wake??"