Wengi wanafikiri sex ndiyo mapenzi

Wengi wanafikiri sex ndiyo mapenzi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
Wengi wetu tulianza ku date A-level, Mkaka mlikutana kwenye school disco au kwenye train mkiwa mnarudi shule. Enzi zile hakuna simu wala internet mawasiliano ilikuwa ni kwa barua.

Assembly mchana ukipata barua kutoka kwa Asprin unaisoma Mara tatu, ukimaliza unairudia tena. Wakati huo mnawekeana mchakato wa kwenda chuo.

Likizo mkikutana Dar, wote hamna pesa. Mnakwenda Empire cinema mkitoka hapo mna kunywa soda Kisha kila mtu anakwenda kwao. Story mnahadithiana za shule, novel za James Hadle Chase.

Kulikuwa na date za beach, mnakwenda na juice zenu, mnashikans mikono mnatembea if ukweni. Hakukuwa na mambo ya kupeana mimba.

Ni wangapi wanafanya hayo sikuhizi? Akishakutoa dinner tu, utalii pia hiyo, as one kitabu wee.

Tuliweza kudate miaka miwili bila sex.
 
Mlango 13

1 Nijaposema kwa lugha za wanadamu na za malaika, kama sina upendo, nimekuwa shaba iliayo na upatu uvumao.
2 Tena nijapokuwa na unabii, na kujua siri zote na maarifa yote, nijapokuwa na imani timilifu kiasi cha kuweza kuhamisha milima, kama sina upendo, si kitu mimi.
3 Tena nikitoa mali zangu zote kuwalisha maskini, tena nikijitoa mwili wangu niungue moto, kama sina upendo, hainifaidii kitu.
4 Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni;
5 haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya;
6 haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli;
7 huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote.
8 Upendo haupungui neno wakati wo wote; bali ukiwapo unabii utabatilika; zikiwapo lugha, zitakoma; yakiwapo maarifa, yatabatilika.
 
Wengi wetu tulianza ku date A-level, Mkaka mlikutana kwenye school disco au kwenye train mkubwa mnarudi shule. Enzi zile hakuna simu wala internet mawasiliano ilikuwa ni kwa barua.

Assembly mchana ukipata barua kutoka kwa Asprin unaisoma Mara tatu, ukimaliza unairudia tena. Wakati huo mnawekeana mchakato wa kwenda chuo.

Likizo mkikutana Dar, wote hamna pesa. Mnakwenda Empire cinema mkitoka hapo mna kunywa soda Kisha kila mtu anakwenda kwao. Story mnahadithiana za shule, novel za James Hadle Chase.

Kulikuwa na date za beach, mnakwenda na juice zenu, mnashikans mikono mnatembea if ukweni. Hakukuwa na mambo ya kupeana mimba.

Ni wangapi wanafanya hayo sikuhizi? Akishakutoa dinner tu, utalii pia hiyo, as one kitabu wee.

Tuliweza kudate miaka miwili bila sex.
Sasa hivi ukijifanya good boy hutaki sex utaanza kuitwa baba mchungaji na majina chungu nzima...
Hio tisa kumi ni ukikutana na mwanamke kichaa anaweza kukuzushia mtungi haupandi jogoo[emoji23] [emoji23] ..

Solution ni kuwa siku ya kwanza mkikutana tu wewe unaanza kutafuta chance ya kula papuchi..
Akijichanganya hata siku hio hio aliyokukubalia unamaliza ili heshima iwepo
 
Kwa kweli bikra ni adimu sikuhizi
 
Achana na sisi,mlikuwa washamba wote ...wanaume na wanawake,siku hizi wanaume wajanja ukimzoea dakika mbili kesha kuambukiza hisia za ngono...kwanini nifuge embe dodo lililoiva kama sio kumtafuta ubaya panya..
 
Back
Top Bottom