rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,163
- 43,988
Hapo juzi kati nlipata manzi flani hivii nkampendaa sanaa aisee...huyu manzi anaishi na dada akee sasa baada ya dada ake kuona nipo naee akaamua kumpiga manzi akatoroka akaja getoo... Sasa si ndo akanambia etii nimfanyie mpango afanye hata biashara hivii akati me Halii mbaya... Manzi mkali sana sema story zake ndo zimenikatisha tamaa kabisa.. Haogopi kunambia ashawahi toa mimbaa..wanaume kibao... Maraa mambo ya club...sijui kunywa pombee yanii hapaa natafutaa namna aondoke geto nakosaa maana kajaa na begi lakee kabisaa..!! USHAURI JAMANI NIMTOSE VIPI MAANA DAAH...SIWEZII AISEE NIMEPATIKANAA