Huyu mrembo mara ya kwanza nilikutana nae maeneo fulan hivi mtaa ya Mbezi, tukawa tumepiga piga stori pale nikiwa nasubiri gari langu likioshwa,
Baadae tukaachana sikuchukua contact zake zozote...
Jamani wana JF naombeni ushauri,
Nina mchumba wangu ambaye nataka nimuoe ila vigezo na masharti naona kama vile hanipendi huyu mwanamke.
Kwanza anataka nipunguze kitambi, wakati kitambi chenyewe...
Kwema wanakuu,
Leo nimekutana na binti mrembo kwenye usafiri wa umma, nilivyomuona mara ya kwanza nikampenda.. si mnatujua #TeamFisi.
Binti nikamchangamkia, nikamlipia nauli na mwisho wa siku...
Habari wanaJF!
Mara nyingi nimewasikia watanzania wengi waki-discourage kuoa wanawake waliosoma hasa mpaka ngazi ya University!
Naombeni ku-share uzoefu na ndugu zangu mliooa wanawake wasomi...
Siku moja katika darasa la jioni la watu wazima, mwalimu wa saikolojia aliingia darasani na kuwaambia wanafunzi;
"Nataka tucheze mchezo, mtu yeyote yule naomba ajitolee aje hapa mbele"...
Wanawake Mungu anawaona sana,
Huyu kijana ambaye kaniomba ushauri kasema amekutana na mtoto wa mchungaji wakapanga ndoa lakini kabla ya ndoa waliwekana wazi kuhusu history ya nyuma, msichana...
Kipindi hiki waajiriwa wengi wenye ajira rasmi iwe ni ajira za Serikali au binafsi wamekuwa waoga mno kuoa/kuolewa na mwenza asiye na ajira.Tumekuwa tukishuhudia ndoa nyingi ambazo kama mume ni...
Habari wakuu poleni kwa majukumu ya kutwa nzima,natumai mko poa..
Twende kwenye mada.nimekaa na kufikiri na nikagundua kitu na nikaona si vby nikashea na wandugu ili nililolipata..
Hapa...
[https://1]
BILA shaka Wakuu wangu mko poa, kwa wewe ambaye unasumbuliwa na shida mbalimbali za kidunia, nakuombea kwa Mungu akupe ahueni..
Je, wewe unaamini kwamba kwenye mapenzi kuna uchawi...
Familia moja walifurahi sana kupata mtoto. Lakini majonzi yalianza pale walipogundua siku zinaenda lakini mtoto hawezi kutamka neno lolote, mtoto alizaliwa bubu.Siku moja ghafla wakasikia anasema...
Midomo ya wanadamu ina bakteria wanakaribia bilioni 7. Bakteria na vimelea vingine vya maradhi huenea mgonjwa anapopiga chafya au kubusiana na mtu asiye na vimelea. Ingawa kubusiana kunaweza kuwa...
Kama heading inavyoonesha,
Decent and husband materials wengi wanawakosa wanawake wanaowahitaji maana wanawakatalia lakini cha ajabu wanawake hao hao wanaangukia kwa hopeless men, players etc na...
Nataka kujua maana nataka nifungue duka pale posta niweze kukonga mioyo ya CHAPUTA ,Je nisheria gani nitakiuka kuuza midoli mbona ya watoto inauzwa ,matumizi ni jambo la faragha ,naombeni...
Namaanisha watoto tuwalinde, tuhakikishe wapo salama.
Hakikisha ukiondoka nyumbani kuna mtu au watu wa kuwaangalia, kama una familia kubwa watoto wako wawe wa kike au wa kiume wasiingie kwenye...
Ni miaka kadhaa iliyopita tulikuwa tumesafiri kikazi kwenda arusha kwenye project flani kwa ajili ya wamasai na pia wa iraq. so tulitoka ofisini troupe ya watu kadhaa tukitumia magari mawili ya...
Hapo vip!!
Leo asubuhi nimemsikia kondo akimtupia mdada maneno, eti ww unaringa nini hata kichaa anayo,halafu wewe Miss Bwawa tu.. But tatizo mdada amekataa kupanda kwenye gari Lake.
Huyu konda...
Trust me kuna vitu huwezi kuvifanya ukiwa katika pozi fulani... Utajikuta tu automatically unafanya movement fulani ili kuruhusu kitendo fulani kuchukua nafasi ya kufanyika..
Hebu jaribu kupiga...
Habari ndugu zangu jf!
Nina tatizo la muda mrefu sana katika kufurahia mautelezi.Nilikuwa nashindwa kutia mimba ex wife wangu tukaenda hospital Kwa ushauri.
Dokta akaomba kuangalia uume wangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.