Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,312
- 8,754
Nafikiri zamani watu walikuwa motivated kuoa kwa sababu kuna vitu bila ndoa ulikuwa huwezi kuvipata!
Pia kwa Miaka ya nyuma wanawake hawakuwa wanaharakati kiasi cha kutunishiana misuli na mwanaume wake ilikuwa full heshima
Miaka ya nyuma ilikuwa ni very illegal kuzaa nje ya ndoa ila kwa sasa freshi tu!
Sasa Wanaume ambao tunataka kufanya mambo yetu kwa ufanisi mkubwa jiulize kwanini uoe?
wakati kama ni mtoto unaweza ukapata kiurahisi at any time t.
Kama ni Penzi yaani unlimited
you will save your life from stress, Binafsi Nawashauri ndugu zangu Wanaume hakuna haja ya kuoa maana kwa sasa ndoa haina umuhimu sana kama miaka ya nyuma!
Ukipinga , Pinga Kwa Hoja!
Maneno yangu sio Sheria!