Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,383
- 7,980
Leo ngoja niseme tu yaliyomo moyoni
Mimi ni kijana na kama umri wa miaka 22 mtafutaji mishe mishe za hapa kwa umri wangu bado sijajijenga kiuchumi
Nakama mnavyojua tena mapenzi ya sasa bila hela upati kitu
Mimi nilikuwa na mchumba lakini kaniacha sababu ya kutompa pesa za kutosha nilikuwa sana natamani nimuhudumie lakini sababu nahofia pia mtaji wangu kufa hivyo nikaona bora aniache mana leo anatak hichi kesho hichi
Hapa nilipo nipo single mda mrefu sababu ya mishemish zangu zinachangia pia kingine nimetongoza mabinti kama watatu lakini niambulia kupigwa mizinga kabla hata mzigo sijapewa imenikatisha tamaa
Nimejaribu kufikiria mchezo wa puli lakini nikiangalia madhara naona ni hatari zaidi
Jamani mahitaji yangu sio kupata ngono peke yake
Hali ya vyuma kukaza tena nashindwa kumeneji vyote mapenzi na pesa