Nina michepuko mingi hadi nikilala naota majeneza tu

bogosho

Senior Member
Joined
Jan 5, 2018
Posts
150
Reaction score
354
Michepuko sio dili hili nalikubali kabisa na wala sio ujanja mana uhuni sio sifa mimi na umri wangu huu miaka 27 natakiwa kuwa na mke ila michepuko imeniandama na wala situmii hela inakuja yenyewe tu.

Sasa huwa nikiwa na shemeji yenu (mke wangu mtarajiwa) najiuliza nitaweza kuwa nae yeye peke yake kweli maana hawa michepuko hawawazi kuachana na mimi anytime soon nimekua mtu wa kuignore simu na kublock simu zao.

Huyu akiwepo sina hata amani mmoja nilimuuliza nikioa itakuaje anasema yeye hajali ilo anachotaka nimtembezee tu basi na hajawahi kuniomba hela yoyote by the way ana 29 years amenizidi kidogo umri na michepuko mingine ndo ipo kibao tu.
 
fresh mkuu, Kula maisha ila kumbuka mwisho kubaya
 
Kwa ndoto hizo, bado kidogo ufe kwa uzinzi
 
Saafi unanfaa mwanaume lazima uwe hivyo piga kwa Sanaa kidume harafu ukioa unacha kuchepuka
 
hivi unajua maana ya michepuko kweli ??
halafu usituambie eti demu wako ni shemeji yangu inawezekana ni demu wetu wote
inawezekana pia demu wako ni mmoja wa michepuko wangu mkuu
 
Siku ukitaka kwenda kutembelea angaza unishtue nikusindikize mkuu
 
Haya bana kama unadhani ni mali endelea utavuna vita vingi
 
Michepuko sio dili hili nalikubali kabisa na wala sio ujanja mana uhuni sio sifa mimi na umri wangu huu miaka 27 natakiwa kuwa na mke ila michepuko imeniandama na wala situmii hela inakuja yenyewe tu.

Sasa huwa nikiwa na shemeji yenu (mke wangu mtarajiwa) najiuliza nitaweza kuwa nae yeye peke yake kweli maana hawa michepuko hawawazi kuachana na mimi anytime soon nimekua mtu wa kuignore simu na kublock simu zao.

Huyu akiwepo sina hata amani mmoja nilimuuliza nikioa itakuaje anasema yeye hajali ilo anachotaka nimtembezee tu basi na hajawahi kuniomba hela yoyote by the way ana 29 years amenizidi kidogo umri na michepuko mingine ndo ipo kibao tu.
Umewahi kujiuliza Huyo mchumbaa wako anakazwa na wanaume wangapi?

Acha ushamba wa mapenzi dogo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom