Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ndugu Nyani Ngabu na Wabeba Maboksi wenzangu, Salaam! Transgender huku sasa wako kila kona. Hata kuwatambua sasa ni vigumu. Ukimdeti Transgender bila kujua, je, siku ukijua utaachana naye au la...
1 Reactions
62 Replies
13K Views
Taarifa ikufikie hapo hapo ulipo ya kwamba 99.999% ya Wanawake wenye Umri wa kati ya miaka 30 hadi 40 huanzisha ' Mahusiano ' ya Kimapenzi na Wanaume ambao hawajawapenda Kidhati ( kutoka Moyoni )...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Kichwa cha habari chajieleza. Mimi kimuonekano wangu ni mcheshi na mtani nikiwa na marafiki ndugu na jamaa na napenda utani vibaya mno. Ila linapokuja suala la mahusiano huwaga...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Unakuta dada mfanyakazi wa ndani anatembea na bosi wake, bosi anampenda kweli kweli, na anaamua kumuelezea kwanini anampenda kuliko mama yake yaani bosi lady sifa kubwa aliyonayo ni kujua kumpikia...
15 Reactions
117 Replies
10K Views
Hello Is this a curse? coz nimejaribu ku-observe ndoa nyingi nimegundua kuwa wanandoa wengi wameoa na kuolewa na watu ambao wasiowapenda kabisa, sasa sijui wana-manage vipi kuishi kwenye ndoa...
7 Reactions
79 Replies
7K Views
Habari wana JF, Natafuta mume aliye tayari kuwa nami katika hali zote, mimi nina umri wa miaka 34, mwalimu wa shule moja ya sec mjini Mwanza. Nilibahatika kuolewa lakini bahati mbaya nilitendwa...
27 Reactions
336 Replies
31K Views
Jamani naombeni njia, nawezaje kumsahau kabisa kichwani kwangu au nibadilishe mazingira vituko vyake nimevichoka nidhahiri sipendwi. Kinachoniumiza nilikua nimemuamini sana ndugu, wazazi jamaa na...
4 Reactions
56 Replies
6K Views
Wakati inaanza ilikuwa tamu ni kweli utamu wake zaidi ya asali, utamu wake ni zaidi ya sukari, mbinu na ubunifu zikatumika katika kuboresha "Jeclahay" nayo upendo na amani ukaongezeka naye watu wa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuna katabia wadada huwa wanako na kanakera sana. Yani pale mnapokuwa na mihadi kila akija anasema hajala tokea asubuhi hivyo anasikia njaa sana. Hii huwa inaharibu sana hesabu maana kama...
11 Reactions
160 Replies
11K Views
Bwana bwana, Leo mwana Jf mngesikia nimechezea Koki live, Ni mwezi tu,Toka nimehamia hapa nyumba ya kupanga,kuna Dada alitokea kunichangamkia sana,kwanza siku nafika tu alinisaidia kuingiza...
3 Reactions
85 Replies
14K Views
Hello Hivi naomba kuuliza kati ya mama mkwe na wifi ni nani hasa anayechangia kuharibu ndoa nyingi za wapendwa wao?? Nawasilisha.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Husika na kichwa cha habari hapo juu Mimi kijana mwenzenu nasikitika sana na hii tabia ya mke wangu, kwakweli ana nichanganya sana jaman Ana mimba ya miez...
8 Reactions
121 Replies
13K Views
Bila shaka utakubaliana nami,maana wanamisuli iliyokakamaa kama wanaume,mfano wanariadha,wacheza mpira,mieleka nk,,ukiwa nae,unachojali ni kudo basi
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Rejea zako tu Kichwa cha Habari hapo juu na karibu katika utiririkaji na usererekaji wako. Najua humu kuna ' Wazoefu ' ama ' Wabobezi ' wengi hivyo leo mtatupa majibu sahihi juu ya uzi. Nawasilisha.
0 Reactions
72 Replies
11K Views
Good Afternoon Good People of JF specifically MMU. That was a long salutation haah! ! OK ..... as the heading says.... This is for you who when you read this words, you hear my voice cause you...
8 Reactions
165 Replies
11K Views
Uko na mkeo sehemu, halafu wanakuja marafiki unawatambulisha kuwa huyo ndiye mama. Imekaaje hii!
1 Reactions
98 Replies
11K Views
Salaam sana niende moja kwa moja kwenye dhumuni la uzi huu wiki iliyopita nikiwa na karedio kangu nikipata fleva za bongo nilipigiwa simu na sista angu aliye mjini Dar es salaam kuwa anakuja na...
12 Reactions
125 Replies
16K Views
Habarini Ndugu zangu humu ndani; Niende kwenye mada moja kwa moja, kuna vitu ambavyo nimekuwa nikiishi navyo katika nafsi yangu toka nikiwa bado mdogo nahivyo vitu vimekuwa vikiniumiza sana...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Kuna mambo mengi ambayo ni kweli na hakika lakini ni vigumu sana kuthibitisha....!! Mimi nasema "hakuna msichana ambaye anakunywa POMBE na kwenda CLUB katika umri wowote ule,,then akawa...
1 Reactions
53 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…