Kuchangia miswaki kwa wanandoa au mpenzi wako ni uchafu au mapenzi?

fundama

Member
Apr 2, 2013
23
11
Jamani nisaidieni,

Naona mimi ni mshamba, inaniwia vigumu kushare mswaki na mpenzi wangu licha ya kuwa denda kwangu sio kazi lakini mswaki mh!.
 
Back
Top Bottom