Hono cute
Member
- Jan 9, 2018
- 27
- 18
Habari zenu wadau,
Niende kwenye mada nina mpenzi wangu ambae sasa tunaenda takribani miaka miwili na kitu, ninampenda na nimewekeza mapenzi yangu yote kwake na yeye ameonyesha kuwa ananipenda, kifupi tupo kwenye mipango mingi nae.
Tatizo lililopo bwana huyu sijawahi ona tabasamu lake zaidi ya siku ya kwanza tuliokutana na kuanza kunitongoza mpaka leo hii, najaribu kumfurahisha kwa kila aina ya mapenzi ili nione labda ataonyesha kutabasamu na kunionyesha nami kuwa namridhisha kwa nimtendeayo lakini wapi.
Mpaka imefikia sasa napoteza kujiamini na kila nikimuuliza hunijibu kawaida tu hakuna tatizo. Nimewaza sana mimi uamuzi wangu ni wa kuachana nae.
Naombeni ushauri wenu labda kuna yaliwahi kumtokea na akarekebisha.