Hivi wanaume huwa mnajua maana ya ''one night stand''?

Mambembe

JF-Expert Member
Mar 2, 2018
2,215
2,958
Naomba kuuliza hili swali wapendwa hivi baadhi ya wanaume huwa wanajua maana ya hili neno hususani kwenye kipengele cha sita sita?

Manake unakuta mtu anasema anahitaji only one night stand with u, hivi kweli mnajua maana ya one night stand?

Baadhi ya wanaume bwana unaweza mpaka upasuke kwa hasira, mtu anakuzungukia zaidi ya mwaka (kwa mfano) na vilio juu anataka one night stand basi inatokea mtu kweli umemuonea huruma siunajua tena kufatwafatwa sometyme kero alafu dume zima linajiliza linataka one night stand, basi unaamua umpe zaga lol then mnaahidiana siku ya kumtunuku.

Bwana we! Mwanamke unakuta najiandaa na show kabambe, yaani full mzuka, nimejikoki ile mbaya manake najua huko leo moto unawaka yaani mpka kiuno nakikanda na kukifanyia mazoezi ili match isije kuwa ya upande mmoja ball possesion iwe equal si unajua tena raha ya match usizidiwe utachekwa mwanamke.

Kufika unakuta naye ana mzuka ile mbaya na asante anazitoa za kutosha kuwa hakutegemea kama ningefika basi kutokana na mimi kuwa sipendi maneno mengi when it comes to dudu na kuwa nipo tayari active kwa shughuli bwana wewe tunafanya ya kufanya then huku na huku huku na huku wazee wale na jamaa choka mbaya na usingizi hapo hapo akija kuamka ni saa sita lets say ilikuwa saa moja tulipomaliza round ya kwanza aaaaagh!

Saa sita tunaanza tena mbilinge kabla ya saa 7 wazungu hao hapo ndo kabisa usingizi kama pono kushtuka ni saa kumi na moja alafu anataka kile cha kwa heri unabakia kujiuliza hivi huyu alikuwa anataka one night stand au short time? Hebu jamani mnisaidie maana ya one night stand ni ipi? Manake watu wanaitumia vibaya unakuta mtu umejiandaa na match ya simba ukifika unakutana na match ya friend ranger ya Kagera kwa kweli mnachosha.
 
one night stand maana yake ni kufanya mapenzi kwa usiku mmoja tuu baada ya hapo kila mtu anashika hamsini zake, no strings attached hata kama kakojoa ndani ya sekunde mbili na mara nyingi huwa haipangwi mnajikuta imetokea tuu umegawa mzigo au umepata zigo mkimaliza imetoka iyo
 
Naombaa kuuliza hili swali wapendwaa hivi baadhi ya wanaume huwa wanajuaa maana ya hili neno hususani kwenye kipengele cha sita sita???
Manake unakuta mtu anasema nahitaji only one night stand with u,hivi kweli mnajuaa maana ya one night stand??
Baadhi ya wanaume bwana unaweza mpka upasuke kwa hasira,mtu anakuzungukiaa zaidi ya mwaka (kwa mfano)na vilio juu anataka one night stand basi inatokea mtu kweli umenuonea huruma siunajuaa tena kufatwa fatwa somtym kero alafu dume zima linajiliza linataka one night stand,basi unaamuaa umpe zagaa lol then mnahaidiana siku ya kumtunuku,

Bwana weeee mwanamke unakuta najiandaa na show kabambe ,yaan full mzukaa,nimejikoki ile mbayaa manake najuaa huko leo moto unawaka yaan mpka kiuno nakikanda na kukifanyiaa mazoezi ili match isije kuwa ya upande mmoja .......ball possesion iwe equal si unajua tena raha ya match usizidiwe utachekwa mwanamke,
Kufika unakuta naye ana mzuka ile mbayaa na asante anazitoaa za kutosha kuwa hakutegemeaa kama ningefika basi kutokana na mimi kuwa sipendi maneno mengi when it comes to dudu nakuwa nipo tayar active kwa shughuli bwana weeeee tunafanya ya kufanya then huku na huku huku na huku wazeeeeeee waleeeeeeeeeeeeeeee na jamaaa choka mbayaa na usingizi hapo hapo akijaa kuamka ni saaa sitaa lets say ilikuwa saa moja tulipomaliza round ya kwanza aaaaagh
Saa sitaa tunaanza tena mbilinge kabla ya saa 7 wazungu hao hapo ndo kabisa usingizi kama pono kushtuka ni saa kumi na mojaa alafu anataka kile cha kwa heri .....unabakiaa kujiuliza hivi huyu alikuwa anataka one night stand au short time????

Hebu jamani.mnisaidiee maana ya one night stand ni ipi??? Manake watu wanaitumiaaaa vibayaaa unakuta mtu umejiandaa na match ya simba ukifika unakutana na match ya friend ranger ya kagera kwa kweli Mnachoshaa!!!
Mmmh nshakujua unachotaka. ILA hiyo ya MTU analilia MWAKA Bado anakomaa Du huyo Jamaa hatari. Sisi wengine jibu la Tatu km ni hapana ndo baibai
 
Kwa kifupi umeshajieleza wewe ni mwanamke aina gani.

Don't make them chase you for a year when they could have had you sooner and at your price.

Pole sis.

Not too late to change. You are gonna be a mother someday.
Umesema kweli
 
Kwa raha zake, yaani akufukuzie karibu mwaka alafu unataka akuridhishe na wewe??
Ingekuwa mimi, ningechomeka kidole kisha nalala, nikiamka nachomeka tena kidole kisha naondoka kiaina, na bili nakuachia.
 
Kwa kifupi umeshajieleza wewe ni mwanamke aina gani.

Don't make them chase you for a year when they could have had you sooner and at your price.

Pole sis.

Not too late to change. You are gonna be a mother someday.
Nimekupenda
 
One night stand ni kama jumpstart tu na ni infidelity.
Kujiandaa au kutojiandaa haikupi faida yeyote ndio maana ikaitwa ONS kwani haitajirudia tena ndio imetoka baada ya hapo.
Lakini pia kama partner wako atajua huwezi jitetea kuwa ni kosa lisilojirudia tena.
 
Halafu msipende kuwapangia wanaume muda wa kumwaga...
Unakuta mwanamke umempa kuanzia hela ya saloon ,hela ya chakula + nauli ya kuja gheto na bado anataka umridhishe..
Ungekuwa unataka kurishishwa usingechukua hela.wewe unachotaka ni hela ambayo umeshapata kwenye kukwichi kwichi aliyelipia huduma ndio anatakiwa kuridhika.
 
Naombaa kuuliza hili swali wapendwaa hivi baadhi ya wanaume huwa wanajuaa maana ya hili neno hususani kwenye kipengele cha sita sita???
Manake unakuta mtu anasema nahitaji only one night stand with u,hivi kweli mnajuaa maana ya one night stand??
Baadhi ya wanaume bwana unaweza mpka upasuke kwa hasira,mtu anakuzungukiaa zaidi ya mwaka (kwa mfano)na vilio juu anataka one night stand basi inatokea mtu kweli umenuonea huruma siunajuaa tena kufatwa fatwa somtym kero alafu dume zima linajiliza linataka one night stand,basi unaamuaa umpe zagaa lol then mnahaidiana siku ya kumtunuku,

Bwana weeee mwanamke unakuta najiandaa na show kabambe ,yaan full mzukaa,nimejikoki ile mbayaa manake najuaa huko leo moto unawaka yaan mpka kiuno nakikanda na kukifanyiaa mazoezi ili match isije kuwa ya upande mmoja .......ball possesion iwe equal si unajua tena raha ya match usizidiwe utachekwa mwanamke,
Kufika unakuta naye ana mzuka ile mbayaa na asante anazitoaa za kutosha kuwa hakutegemeaa kama ningefika basi kutokana na mimi kuwa sipendi maneno mengi when it comes to dudu nakuwa nipo tayar active kwa shughuli bwana weeeee tunafanya ya kufanya then huku na huku huku na huku wazeeeeeee waleeeeeeeeeeeeeeee na jamaaa choka mbayaa na usingizi hapo hapo akijaa kuamka ni saaa sitaa lets say ilikuwa saa moja tulipomaliza round ya kwanza aaaaagh
Saa sitaa tunaanza tena mbilinge kabla ya saa 7 wazungu hao hapo ndo kabisa usingizi kama pono kushtuka ni saa kumi na mojaa alafu anataka kile cha kwa heri .....unabakiaa kujiuliza hivi huyu alikuwa anataka one night stand au short time????

Hebu jamani.mnisaidiee maana ya one night stand ni ipi??? Manake watu wanaitumiaaaa vibayaaa unakuta mtu umejiandaa na match ya simba ukifika unakutana na match ya friend ranger ya kagera kwa kweli Mnachoshaa!!!

Wengine One Night Stand yetu huwa tunaifanya vizuri pale mkitugeuzia ' Samaki ' tule zaidi ule upande mtamu na wa moto zaidi.
 
Back
Top Bottom