Je, unaweza kupata ''real love'' mtandaoni?

Forest Hill

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2018
Posts
2,873
Reaction score
6,894
Hilo swali ndio linatutatiza wengi, karibuni tu share ideas, njia zipi za kupata mpenzi bora? Girlfriend, boyfriend. Je unaweza ku make love na mtu uliekutana nae mtandaoni kama Fb or JF na mkafika mbali?
 
Binafsi mapenzi ya kwa mtandao ni yakidwanzi sana, nakumbuka mwaka 2015 nilipataga demu Kupitia FB so tukaishia kuonana tu mazeeH
 
Ukipata a "Lady" you can make it .... Mpaka ukasema ewaaaaaaa.

Ukipata a 'girl' utaishia kusema ,mademu wa mitandaon hawafai.

Swali kubwa ni ,,, nitawezaje kumjua huyu ni Lady uyu ni Girl?? ..... Rahisi sana tu.

Tokea niwe naye ,amekua sehemu ya maisha yangu ya kila siku , amekua akinipa faida ya upendo kila uchwao , Nimwanamke asokua Kifani ,tupilia mbali uzuri wa mwonekano wake ,bali amepewa uzuri wa moyo ,moyo ulojazwa unyenyekevu ,ukweli ,upole ,uvumilivu ,ustahimilivu ,moyo wakufanya kazi ukizingatia kauli mbiu ya CCM ni hapa kazi tu, Huyu mwanamke mpaka unaweza kukaa ukajiuliza ,umekutana na malaika au?? Anajua moyo wamtu nikm ngumi ya mkono wake wakulia ,nasababu mimi sio mnene nina kangumi kadogo kwaiyo ninakamoyo kadogo [emoji8] basi bana ,,kua na kamoyo kadogo nakwambia mwanamke wawatu muda wote ni "baby mith you......umekula baba....poleee kwa kazi'' yaan niivi sipendi kunenepa ila ningeshakua bongeeee.

Mkuu inategemea umeangukia demu au mwanamke !!...ila true love lipo
 
Hapo umepata punga huko Fb unakuja sasa kutuuliza sisi... Empty Set kabisa
 
sijawahi bado kua na mahusiano ya hvyo
 
Lipo kweli.
 
sijawahi bado kua na mahusiano ya hvyo
Sasa nikupe hints...

Mahusiano ya hivi wala usiyatafute kwa nguv na kulazimisha ,utaishia kupata ":mademu " ambao itakulazim uanze kunyanyua vyuma ,uvae mlegezo,unyoe kila style mpya ,mwende club ,kunywa pombe kali kali , uvute kidogo

Yaaan wao wanasema "" i drink and smoke socially [emoji3][emoji3][emoji57]"

Ebwanaaaa tulia tu utaona ghafla mmekua wapenzi !!
 
Back
Top Bottom