Kwanini Wasimamizi Wakuu wengi wa Maharusi hupata urahisi Kuzini na Wanandoa waliowasimamia?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,548
108,879
Nimeichunguza sana na kugundua kuwa ni kweli 98% kwamba Wale Wasimamizi wa Maharusi yule wa Bwana na Bibi Harusi hupata urahisi sana kutembea ( kufanya Mapenzi ) na mmoja wapo wa Wanandoa waliowasimamia Harusi yao. Na nimegundua pia kuwa 99% ya Watu ambao huharibu Ndoa za Watu ni wale wale waliokuwa Wasimamizi wao wakati wa Harusi / Ndoa yao.

Je nini hupelekea hii hali? Wazoefu na mliopo kwenye Ndoa tafadhalini tusaidieni katika hili.

Nawasilisha.
 
Ndio maana watu wengi huchagua ndugu wa karibu kuwa wasimamizi wa harusi,hawa marafiki au watu wengine huwa wana uroho kila wakati na huharibu ndoa( hii ni kwa kila upande awe msimamizi mwanamke au mwanaume na hii ni hatari zaidi kama wasimamizi hawana ndoa).
 
Back
Top Bottom