Mabinti wa kilokole wengi ni waigizaji tu

Mabinti wa kilokole wengi ni waigizaji tu

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,228
Reaction score
1,264
Habari wana JamiiForums, natumai mu wazima wa afya,

Kilio changu ni kwa hawa mabinti wa kilokole wa siku hizi wengi mimi kwa mtazamo wangu naona kama wanaigiza tu.

Maana wengi wao wana mambo mengi na wanapenda sana maisha ya kidunia yaani hawajakaa kilokole kabisa.

Utakuta mtu mambo ya kidunia anapenda na mambo ya Mungu anapenda yaani yupo vuguvugu huku yupo kule yupo na wengi wao wana tabia za kimalaya, wana viburi visivyo na mfano, wasengenyaji, waongo yaani mpaka najiuliza hawa watu wameokoka kweli au wanatania.

Wadau mna mtazamo gani kwa hawa mabinti waigizaji wa kilokole.
 
Wewe shika lako. Umeokoka au laa maisha ya wadada hai yanakuhusu nini? Nani alikupa chetu cha kuhukumu watu? Wee ngoja2hukumu yako. Yesu anarudi kuhuihukumu DUNIA YOTE WATU WOTE..WAFALME N.A. WEWE POA. JIHOJI SASA
 
Duuh!
 
lakini kwa matendo yao tutawatambua
 
Habari wanajamii forum.Natumai mu wazima wa afya
Kilio changu ni kwa hawa mabinti wa kilokole wa siku hizi wengi mimi kwa mtazamo wangu naona kama wanaigiza tu maana wengi wao wana mambo mengi na wanapenda sana maisha ya kidunia yaani hawakaa kilokole kabisa utakuta mtu mambo ya kidunia anapenda na mambo ya Mungu anapenda yaani yupo vuguvugu huku yupo kule yupo na wengi wao wana tabia za kimalya,wana viburi visivyo na mfano,wasengenyaji,waongo yaani mpaka najiuliza hawa watu wameokoka kweli au wanatania
Wadau mna mtazamo gani kwa hawa mabinti waigizaji wa kilokole

Tena usije ukapoteza muda wako Kudanganyika na Ulokole wao Mkuu kwani 99.9% ni ' Vivuruge ' tupu. Halafu kuwa na Gono na Kaswende ndiyo wanaongoza hao. Nina uzoefu nao ' uliotukuka ' na huwezi kunidanganya na Wao kwa lolote. Fanya ' Utafiti ' wako utakuja kukubaliana nami.
 
haika unachokisema kiko sahihi
 
Da mkuu kuna muda mtu unataka labda ujaribu watu wa kanisani nako shida
Huko ndio maficho yao siku hizi,

Mtaani tupo wengi au mwatuona viruka njia?

Sio haki
tapatalk_1521266737314.png
 
Yasiyokuhusu na usiyoyaweza muachie Muweza wa yote. Wewe fanya yanayokuhusu.

Acha Mungu mwenyewe atahukumu.
Time will tell.
 
Watajua wenyewe yangu yananishinda kuyaongeza mengine ni kujitakia mengine.
 
Hizi nyuzi za kuwananga mabinti wa kilokole humu ndani jana na leo naona zimeshika hatamu.
 
binadamu wote in sawa

hayo mambo... mlokole,mjahidina,kafiri,wenye dini na wasio na dini ni rangi za kuipamba dunia.
 
Back
Top Bottom