Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,638
- 220,410
Huyu rafiki ni kati ya wale wachache niliokua nao mtaa mmoja. Hizi familia zetu za ki Africa, wazazi wake unawaonav kama wazazi wako na birthdays mlikunywa soda pamoja.
Huyu bwana aliogopewa kwa akili tangu akiwa primary school. Alisomea maswala ya fedha. Na amefika mbali.
Tulipoteana kwa miaka mingi, tumekutana miaka mitano iliyopita. Mawasiliano ya udada na ukaka yalianza tena. Alipata kazi kwenye international organisation nje ya Tanzania. Aliniaga na kunieleza donge watakalo mlipa . Ilikuwa donge nono na nkawabia watoto, uncle wenu amefika pale kwakua amefanya urafiki na vitabu.
Baada ya miaka miwili ananipigia simu, dada hali ni mbaya. Nilikuwa na vijiakiba vyangu nikampa, alishukuru na kuondoka. Kumbe alishapoteza kazi.
Jamaa CV yake ni nzuri sana. Haikuchukua muda alipata kazi nyingine kwenye kampuni ya nishati. Mambo yake yalipokaa vizuri kuna siku alinifanyia surprise alinipa 2 millon kwenye bahasha akamiambiacwema ulionifanyia kipindi kile siwezi kuusahau.
January alinipigia simu kuwa anashida ya pesa. Hata mimi hali yangu hazikuwa nzuri, wiki iliyopita alinipigia tena, nilimpa pesa niliyokuwa nayo. Baada ya muda alinipigia kuomba kuja nyumbani tuongee.
Alinishukuru tena na kunieleza amepata kazi nyingine, sasa atachukua zaidi ya 10 million kwa mwezi. Tukiwa na ka wine nilimwambia kaka huu nivwakati sasa utafute mke our, alinijibu wanawake wananikimbia wanadai I’m a gambler. Hapa ndipo niliposhtuka haiwezekani mtu wa position yake aishiwe asiwe hata na laki moja ya dharura.
Nitamsaidia vipi?