Jiamini usiwe na wivu usio na tija

goldie ink

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
5,645
2,000
Hellow watu wa Jamii F, poleni na stress za maisha na weekend angalau inaanza vyema kujipanga tena upya.

Kuna jambo nahitaji kuwashirikisha wana harakati wa jamii F.

Leo ni siku ya Ijumaa tena weekend inaanza nikiwa katika harakati zangu huko mjini nikakutana jamaa yangu, niliwahi kusoma naye o ' level long time ago hatujaonana tukasema tule bata this friday, tukaanza safari kwenda village supermarket Sea Cliff, Masaki kununua wine nzuri.

Sasa kwa kuwa yeye alikuwa na gari nikasema ngoja nikachukue wewe baki humu ndani ya gari, nikaenda, katika kuchagua chagua wine nzuri kwenye shelf raw nikamuona mdada mkali naye ana chagua her goods, alivaa gauni zuri lililo mkaa vyema mwilini mwake naye akavutia hasa na shepu, sura alikuwa nayo hakika alipendeza mno ila kwa bahati mbaya zipu upande wa mgongoni ikawa imefunguka kwa sehemu kubwa lakini kwake hakulifahamu hilo.

Nikatumia busara kumwambia," dada samahani sana, gauni lako ni zuri mno limekupendeza sana lakini zipu imefunguka " kwa aibu akaina chini akajaribu kushika zipu ili afunge akashindwa akawa anajipapasa papasa bila mpangilio, nikamsogelea nikamsaidia kuvuta zipu kuanzia chini mpaka juu kwa taratibu kabisa huku nikimnong'oneza masikioni mwake " gauni lako ni ghali ni zuri imepata mvaaji mzuri mwili wako pia ni mzuri inayopendezea kila aina ya nguo utakayo vaa hakika ubarikiwa mgongo wako mlaini unafaa kwa masaji ( massage) nimependezwa na jinsi ulivyo leo " wakati huo nilikuwa nishamaliza kumfunga zipu nikanogewa kama poda ya cocaine, nikasogea zaidi miili yetu ikagusana nikashika kiuno chake na wowowo lake lilinigusa suruali yangu, nikaendelea kuongea kwa kumsifia mrembo huyu.

Kwa ustaharabu na busara zaidi bila kuchelewesha muda nikatoa simu yangu mfukoni nikaiset kabisa tayari kwa namba kuandikwa, nikampa aandike akagoma akasita nikamsihi afanye hivyo akageuka kwa pozi upande wa kulia na kushoto kama mtu anayetaka kuvuka barabara, akaandika namba kwa haraka akanirudishia simu, nikaisave namba nikarudisha simu mfukoni, mikono yangu ikarudi kiunoni nikazidi kumchokoza kwa maneno yangu ghafla nikasikia sauti ya kiume yenye mkwaruzo ikitokea upande wa kulia " wewe mse....ngx unafanya nini hapo na mke wangu si nakuuliza wewe "

Bila uoga na kwa kujiamini nikageuka nikamwangalia akanikaribia akiwa hasira mno akapaniki, msichana akawa haelewi cha kufanya ana hofu, nikamwambia jamaa " nilikuwa namsaidia mkeo kufunga zipu katika gauni lake zuri uliyomnunulia lakini uache wivu usiyokuwa na maana huo ni wivu wa kizamani tena wa kike siku nyingine jiamini.

" Jamaa akaanza kuropoka kwa jazba nikaondoka upande mwingine bila wasi wasi nikagundua jamaa hawezi kufanya lolote bali kuishia kuongea kwa sauti ya juu, nikasahau hadi kuchukua wine nikaenda kwa jamaa ndani ya gari akiwa anaperuzi simu yake nikamwambia hawana wine yeyote hapa zaidi ya vinywaji vingine twende sehemu nyingine tukaangalie.

Jiamini siku zote punguza wivu usiyo na tija.
 

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
23,780
2,000
Hellow watu wa Jamii F,
Poleni na stress za maisha na wikiendi angalau inaanza vyema kujipanga tena upya.

Kuna jambo nahitaji kuwashirikisha wana harakati wa jamii F.

Leo ni siku ya ijumaa tena wikiendi inaanza nikiwa katika harakati zangu huko mjini nikakutana jamaa yangu, niliwahi kusoma naye o ' level long time ago hatujaonana tukasema tule bata this friday, tukaanza safari kwenda village supermarket sea cliff, masaki kununua wine nzuri, sasa kwa kuwa yeye alikuwa na gari nikasema ngoja nikachukue we baki humu ndani ya gari, nikaenda, katika kuchagua chagua wine nzuri kwenye shelf raw nikamuona mdada mkali naye ana chagua her goods, alivaa gauni zuri nililio mkaa vyema mwilini mwake naye akavutia hasa na shepu, sura alikuwa navyo hakika alipendeza mno ila kwa bahati mbaya zipu upande wa mgongoni ikawa imefunguka kwa sehemu kubwa lakini kwake hakulifahamu hilo nikatumia busara kumwambia " Dada samahani sana, gauni lako ni zuri mno limekupendeza sana lakini zipu imefunguka " kwa aibu akaina chini akajaribu kushika zipu ili afunge akashindwa akawa anajipapasa papasa bila mpangilio, nikamsogelea nikamsaidia kuvuta zipu kuanzia chini mpaka juu kwa taratibu kabisa huku nikimnong'oneza masikioni mwake " gauni lako ni ghali ni zuri imepata mvaaji mzuri mwili wako pia ni mzuri inayopendezea kila aina ya nguo utakayo vaa hakika ubarikiwa mgongo wako mlaini unafaa kwa masaji ( massage ) nimependezwa na jinsi ulivyo leo " wakati huo nilikuwa nishamaliza kumfunga zipu nikanogewa kama poda ya cocaine, nikasogea zaidi miili yetu ikagusana nikashika kiuno chake na wowowo lake lilinigusa suruali yangu, nikaendelea kuongea kwa kumsifia mrembo huyu, kwa ustaharabu na busara zaidi bila kuchelewesha muda nikatoa simu yangu mfukoni nikaiset kabisa tayari kwa namba kuandikwa, nikampa aandike akagoma akasita nikamsihi afanye hivyo akageuka kwa pozi upande wa kulia na kushoto kama mtu anayetaka kuvuka barabara, akaandika namba kwa haraka akanirudishia simu, nikaisave namba nikarudisha simu mfukoni, mikono yangu ikarudi kiunoni nikazidi kumchokoza kwa maneno yangu ghafla nikasikia sauti ya kiume yenye mkwaruzo ikitokea upande wa kulia " weeeee mse....ngx unafanya nini hapo na mke wangu si nakuuliza wewe " bila uoga na kwa kujiamini nikageuka nikamwangalia akanikaribia akiwa hasira mno akapaniki, demu akawa haelewi cha kufanya ana hofu, nikamwambia jamaa " nilikuwa namsaidia mkeo kufunga zipu katika gauni lake zuri uliyomnunulia lakini uache wivu usiyokuwa na maana huo ni wivu wa kizamani tena wa kike siku nyingine jiamini " jamaa akaanza kuropoka kwa jazba nikaondoka upande mwingine bila wasi wasi nikagundua jamaa hawezi kufanya lolote bali kuishia kuongea kwa Sauti ya juu, nikasahau hadi kuchukua wine nikaenda kwa jamaa ndani ya gari akiwa anaperuzi simu yake nikamwambia hawana wine yeyote hapa zaidi ya vinywaji vingine twende sehemu nyingine tukaangalie.
Jiamini siku zote punguza wivu usiyo na tija.....
Ukamnong'oneza masikioni...
Ukamshika kalio...
Ukaizungusha mikono yako kiunoni mwake.....

Yote haya umeyafanya kwa mke wa mtu naye hbila hiyana akakukubalia...!!!!! humjui, akatulia tu unashika kalio, akatulia tu unashika kiuno, NA KUGAWA NAMBA...!!!!!

NIRUDISHIE CHENJI YANGU, MI NASHUKA HAPA HAPA....!!!
 

goldie ink

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
5,645
2,000
Wengine tuna sumu kana Tandu uking'atwa lazima utulie haijalishi nakufahamu au sikufahamu.
 

kyagata

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
2,063
2,000
hapo milikua supermarket au kwenye Danguro?yani mpaka mmefikia kushikana viuno kamera haziwaoni tu?
 

URBAN MONKEY

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
715
1,000
Ukamnong'oneza masikioni...
Ukamshika kalio...
Ukaizungusha mikono yako kiunoni mwake.....

Yote haya umeyafanya kwa mke wa mtu naye hbila hiyana akakukubalia...!!!!! humjui, akatulia tu unashika kalio, akatulia tu unashika kiuno, NA KUGAWA NAMBA...!!!!!

NIRUDISHIE CHENJI YANGU, MI NASHUKA HAPA HAPA....!!!
Mimi silipi nauli kabisa aseeeh

Kumbe mwenzangu umeliona hilo
Hata kama wana vipaji vya utunzi wasitufanyie hv aiseeh
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom