SIMULIZI; FUNDA MOKO.SEHEMU YA PILI

SIMULIZI; FUNDA MOKO.SEHEMU YA PILI

kibenten

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2018
Posts
499
Reaction score
511
STORY:FUNDA MOKO. MWANDISHI:KIBENTEN. SEHEMU:YA PILI. Inaendelea.............................Kitendo hichi alichokifanya neema kiliniaxha mdomo wazi huku dushe yangu ikiugulia maumivu tu coz misuli yote ilikaza ile mbaya lkn neema wala hakuonesha wasiwasi wowote kibaya zaidi akanza kuvua nguo zake ili ajipake mafuta na hapo ndo nikashindwa kuvumilia kabisa pindi ile kanga iliyokuwa kiunoni mwa neema ilipoanza kuachia na kusabisha kiuno chake kizuri kilichopandwa na cheni ya gold,,kwa kweli sikuweza vumilia niliruhusu shetani anitembelee na hapohapo nikrukia lkn kabla sijafanya chochote simu yake ikalia,,akaniambia kuwa ni baba yake,,,,,
basi akopokea,maongezi jayo niliyasikia vzr kwa kuwa nilikuwa karibu tu na neema,,,nikashituka baada ya sauti ya baba ake kusikika kuwa yupo nje ya chumba anataka asalimiane na binti ake,,na kidogo mlango ukagongwa na kusababisha mm na neema kubabaika tusijue la kufanya huku mlango ukizid kugongwa kwa nguvu"ngo!! ngo! ngo!!". nikapata wazo la gafla kwamba niende bafuni nikaenda nikajificha huku dushe yangu imeywea kabsa

,,,,neema akavaa haraka haraka na kuenda kufungua kweli mzee Sirro ambaye ni kamanda wa polisi DSM,,na ndo baba ake neema,,aliingia na walinzi watatu waliokuwa wamejazia kiuhakika utazani Vandme,walionekana wakiangalia kila pembe ya chumba hicho mm nilikuwa nawaona tu coz bafu ni la vioo tinted,,,walongea kidgo na kusalimiana na kukasikika km mtu anagonga mlango walinzi wakaenda fungua na kukutana na mhudumu wa mle chumbani kwa neema,,akauliza km angeweza kwenda kusafisha choo na bafu. hapo nilianza kusali sala zote nazozijua kuomba iwe kama ndoto,,uoga na wasiwasi vilinipanda na kufanya mapogo yangu ya moyo kwenda mbio, nilimuona pia neema akihaha tu asijue la kufanya,,,,Mzee Sirro akamwambia yule binti kuwa aongee na tu na mwanae apate ruhusa ya kufanya usafi mule bafuni niliko mm,,,na hapohapo mzee sirro na walinzi wake wakamuaga neema na kuondoka, hapo ndo nilijua kweli mungu yupo, kwani tayari nilikuwa nishamaliza mkojo wote kwa kujikojolea,ko pale chumbani wakabaki wawili tu yule mhidum na neema,,Neema akamwambia yule mhudum aje badae na yy bila kipingamizi akaondoka na mm nkatoka mle bafuni huku nimelowa kwa jasho,,,,,
Nilippfika kwa neema sikutaka hata maongezi nikapitiliza hadi mlangon ili nitoke nje lkn Neema akawaho na kunishika mkono na kunikumbatia,hasira yote niliyokuwa nayo ilipotea baada ya kutua kwenye kifua chenye joto nzuri.. Tukatazamana kama majogoo yaliuotoka kugombana,,,,,,yule asikari wangu wa siri alianza tena kuinuka polepole na kuanza kucheza gwaride la ''nyuma geuka kulia na kushoto humohumo ndani ya suruali yangu

*INAENDELEA HAPA CHINI*
 
akisubiri amri tu ya mbele tembea ili aanze kushambulia,,,,,Basi Neema akaanza kaniambia.

""Ngosha hivi wajua we ni HB sana, wajua kwa nn kule chuoni wasichana wakutaka sana,,,,,Na mm ni miongoni mwa wanaotamani siku moja wawe na mwanaume km ww kwanza ww Ngosha ni mpole,,mtulivu,,mkalimu,,na licha ya kifua chako hocho kilivyo gawanyika pia una heshima kwa kila mtu,,hivyo mm siwezi kukuacha kamwe na nikutamke tu kwamba NAKUPENDA NGOSHA.""""Alimaliza kuongea hivyo Neema kwa kuwa mimi ni mtu nisiopenda sana wanawake nikaona ananipigia makelele tu na kumuacha. Nilichukua gari yangi aina ya BMX na kuendesha kwa speed kali kutokana na kuandamwa sana na visichana vya hapa chuoni nilafika hostel mbagala na kuoga na kisha kupumnzika huku nokiwaza kile kitendo nilichotaka kufanya na neema huko hotelini, nilijilaumu sana kwani ni kinyime sana na mafunfisho ya dini yangu na hata kitendo chenyewe sijawahi kukifanya tangu nizaliwe ,,kwa kuwa mm ni mtu wa mungu sana na kila mda nasali aniepushe na hivi vishawishi...

. Asubuhi na mapema niliamka na kujiandaa kisha nikawasha ndinga yangu hadi chuoni ambako nilidndelea na lecture hadi mda wa break ulipofika na nikaamua kuenda zangu caftelia kupata supu nikiwa na rafiki angu Dotto,,tulifika na kuagiza na kuanza kupata msosi gafla nikashikwa bega kutazama ni nani huyu,,,,,nikataharuki baada ya kuona sura nzuri ya maji ya kunde niliendelea kumchunguza huyu binti na kubaini kuwa alifanana kila kitu na msanii wa marekani aitwae NICK MINAJI.akanisalimu na kukaa kando yangu nilikuwa namjua sana ni miongoni mwa wasichana wanaonisumbuaga apa chuoni ,
,,,baada ya kumaliza tukaenda sehem na kuanza kuniongelesha utumbo wake na mm nkaendelea na msimamo wangu uleule wa kutojihusisha na mapenzi mpaka ntakapooa.,,,......,..... baada ya hapo nikaamua niende zangu na mshikaji wangu Doto maktaba tukapihe kitabu, tulifika n kukaa lkn kabla ya kukaa nikamuona Neema mle libray akiwa na rafiki ake Vicky wakichagua vitabu,,,,,,,,,,,,,wakaniomba niwasaidie na mm bila hiyana nikaanza kuwasaidia,,,,,,,,sasa uyo rafki ake alivokuwa akiniangalia mhhh .......

*ITAENDELEA SEHEMU INAYOFUATA*
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom